Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

Hii issue ni ngumu sana aisee kumfukuza sio kumsaidia muhimu itafutwe njia ya kuwasaidia
 
I've never met with this issue anywhere... lakini huenda shule husika huficha ili kulinda cv na pia huenda wazazi huwa wanaongea na walimu kwa herufi kubwa ktk kuwastiri ili mambo mengine yaendelee... hata hivyo kufikia kitu mpaka kuwekewa sheria mahali fulani basi jua hilo ni tatizo linalowakuta, ki afrika jambo hili ni aibu hivyo hata kuamuliwa kwake nafikiri hufanywa siri.
 
Kwenye hii shule ninayomiliki nimeshawafukuza wanafunzi mashoga watano hadi kufika mwaka huu.

Wasagaji huwa siwafukuzi kwa sababu sioni kama kusagana Kuna athari hasi.

Kwenye shule yangu nyeto inafundishwa kama somo muhimu kwani bila nyeto hakutakuwa na jamii imara (nyeto Ina faida kede wa kede).

Nasanzuka!
Nyeto sio biashara kabisa nakushauri uache mara moja hakuna aliyewahi kuvunja rikodi ya kupiga nyeto kama mimi zaidi ya miaka 45, nilianza nikiwa drsa la 5..Ewe ndugu nakusisitiza acha maramoja.
 
Kwa upande wako mkuu. Umeleta uzi wat wafunguke wanayoyafahamu halafu upo fasta kukanusha je umeleta kujimwambafai haukufukuzwa shule ama?
Mie sijawahi kukutana na case hii, na pia sijawahi kuona au kusikia wamefukuzwa ile totally, ila kuhamishwa na kusimamishwa masomo kwa muda, nakubali.
Labda km wee ulishawahi shuhudia, inaweza ikawa sawa. Ila sina hakika sana.
 
Mie nilishashuhudia mmoja akifukuzwa japo sikushuhudia kama ni kweli ana matendo yale. Maana enzi nasoma balehe ziliwakimbiza vijana kwa wadada na wadada kwa vijana. Na pia sikuwa nafatilia mambo ya mapenzi ya watu. Ni kama humu tu sina baya na mtu zaidi ya kuwasimanga chai jaba na chawa wa tununu
Mie sijawahi kukutana na case hii, na pia sijawahi kuona au kusikia wamefukuzwa ile totally, ila kuhamishwa na kusimamishwa masomo kwa muda, nakubali.
Labda km wee ulishawahi shuhudia, inaweza ikawa sawa. Ila sina hakika sana.
 
Back
Top Bottom