Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Nimesikitika sana mpaka sasa sijaiona comment ya BICHWA KOMWE -
Bado unaendelea nayo?Nyeto sio biashara kabisa nakushauri uache mara moja hakuna aliyewahi kuvunja rikodi ya kupiga nyeto kama mimi zaidi ya miaka 45, nilianza nikiwa drsa la 5..Ewe ndugu nakusisitiza acha maramoja.
hapana, Niliacha.Bado unaendelea nayo?
Unanishauri nini Mimi ambaye naendelea kuienzi kwa lengo la kutaka kuingia kwenye kitabu cha rekodi ya dunia, yaani Guinness world book of record.hapana, Niliacha.
umetisha, lakin CHAPUTA Wanakufahamu? binafsi sikushauri uendelee.Unanishauri nini Mimi ambaye naendelea kuienzi kwa lengo la kutaka kuingia kwenye kitabu cha rekodi ya dunia, yaani Guinness world book of record.
Naufanyia kazi ushauri wako bila kuudharau kwa kufahamu kuwa nawe ulikuwa mkali sana wa mchezo huu mkuu.umetisha, lakin CHAPUTA Wanakufahamu? binafsi sikushauri uendelee.
Naufanyia kazi ushauri wako bila kuudharau kwa kufahamu kuwa nawe ulikuwa mkali sana wa mchezo huu mkuu.
😂😂😂 bas sawaa.Mie nilishashuhudia mmoja akifukuzwa japo sikushuhudia kama ni kweli ana matendo yale. Maana enzi nasoma balehe ziliwakimbiza vijana kwa wadada na wadada kwa vijana. Na pia sikuwa nafatilia mambo ya mapenzi ya watu. Ni kama humu tu sina baya na mtu zaidi ya kuwasimanga chai jaba na chawa wa tununu
Mimi nilisoma shule za Serikali za bweni- Boys kwa miaka yote ya Sekondary na sikuwahi kukutana na hiyo hali. Ila ilikuwa miaka ya nyuma kidogo ambapo watoto walikuwa serious na shule; hivyo hakukuwa na nafasi ya kuwazia hilo. Imagine wanafunzi kwenye 1300 wote tupo bweni (1-VI)Ni private school?
Kwani ushoga unahusu nini na kuwa serious na shule?Mimi nilisoma shule za Serikali za bweni- Boys kwa miaka yote ya Sekondary na sikuwahi kukutana na hiyo hali. Ila ilikuwa miaka ya nyuma kidogo ambapo watoto walikuwa serious na shule; hivyo hakukuwa na nafasi ya kuwazia hilo. Imagine wanafunzi kwenye 1300 wote tupo bweni (1-VI)