secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huu mjani uko mbioni kuhalalishwa.Hv kweli polisi na dcea wakiona haya mawazo kwa nini wasiendelee kuzuia bangi wakati huu mjani hauna shida?
Acha kuuharibia sifa huu mjani kiwiti
Nyeto sio biashara kabisa nakushauri uache mara moja hakuna aliyewahi kuvunja rikodi ya kupiga nyeto kama mimi zaidi ya miaka 45, nilianza nikiwa drsa la 5..Ewe ndugu nakusisitiza acha maramoja.Kwenye hii shule ninayomiliki nimeshawafukuza wanafunzi mashoga watano hadi kufika mwaka huu.
Wasagaji huwa siwafukuzi kwa sababu sioni kama kusagana Kuna athari hasi.
Kwenye shule yangu nyeto inafundishwa kama somo muhimu kwani bila nyeto hakutakuwa na jamii imara (nyeto Ina faida kede wa kede).
Nasanzuka!
Nakataa, kuna case 1 hakufukuzwa, ni alihamishwa. Na hivi navyosema kasha graduate Bachelor Degree.
Mie sijawahi kukutana na case hii, na pia sijawahi kuona au kusikia wamefukuzwa ile totally, ila kuhamishwa na kusimamishwa masomo kwa muda, nakubali.Kwa upande wako mkuu. Umeleta uzi wat wafunguke wanayoyafahamu halafu upo fasta kukanusha je umeleta kujimwambafai haukufukuzwa shule ama?
Mie sijawahi kukutana na case hii, na pia sijawahi kuona au kusikia wamefukuzwa ile totally, ila kuhamishwa na kusimamishwa masomo kwa muda, nakubali.
Labda km wee ulishawahi shuhudia, inaweza ikawa sawa. Ila sina hakika sana.
Wajibu wa wakuu wa shule kwan kazi Yao ni nin? Nidham ni moja wapoShule za private ni sawa, je na hizi za Government??