Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bas sawaa.
 
Shule niliyosoma haikuwa na hayo mambo ila bangi ndo ilikuwa imeshika hatamu. Kwenye darasa letu vipanga wengi walikuwa wanatumia bangi. Form five tulienda kama 75% ya darasa na katika hao wavuta bangi walikuwa wengi sana.
 
Ni private school?
Mimi nilisoma shule za Serikali za bweni- Boys kwa miaka yote ya Sekondary na sikuwahi kukutana na hiyo hali. Ila ilikuwa miaka ya nyuma kidogo ambapo watoto walikuwa serious na shule; hivyo hakukuwa na nafasi ya kuwazia hilo. Imagine wanafunzi kwenye 1300 wote tupo bweni (1-VI)
 
Kwani ushoga unahusu nini na kuwa serious na shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…