Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

Huyo Mzee atakwambia Mkwawa alikuwa Muislam Kwa kuwa yeye anaangalia Dini ya aliyepo mistari wa mbele, lakini ukweli Ni kwamba watu walikuwa wanajumuika kupigania nchi yao kiumoja wa asili Yao ya uzaliwa, siyo udini.
Sasa yeye akiona mkutano mkubwa anawaza wa Dini yake walikuwa wangapi? Uchambuzi na ujumuishaji wa hadhara Kwa misingi ya Dini ya wahudhuriaji siyo advantage rasmi.
Master,
Ukisoma ''Kleist Sykes: The Townsman,'' utakuta imeandikwa kuwa Wakristo hawakuwa wengi katika harakati hizi kwa kuwa walikuwa wanakatazwa na viongozi wao kushiriki katika siasa.

Hii ndiyo TAA Political Subcommitte 1950:
  1. Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (Mufti wa Tanganyika)
  2. Sheikh Said Chaurembo
  3. Abdulwahid Sykes
  4. Hamza Mwapachu
  5. Dr. Vedasto Kyaruzi
  6. Steven Mhando
  7. John Rupia
Sheikh Hassan bin Ameir akiuza kadi za TANU misikitini.
Angalia Baraza la Wazee wa TANU hapo chini:

1724990269188.jpeg
 
Sheikh tufanye mpango kila madrasa wawe wanaplay video zako na waislam wote wawe wanalazimishwa kuzisikiliza kwa fimbo
Nak...
Huhitaji fimbo kunisikiliza.
Leo asubuhi naangalia viewers kwenye video zangu mbili:

Gumzo la Ghassani kuna watu 10K (Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir)
Kalamutv kuna watu 19K (Sheikh Suleiman Takadir)

Hawa hawajashikiwa fimbo na yeyote.
 
Hakuna research pale nakwambia,research iishie wigo wa Kariakoo na Dar tu huku ikizunguka kwenye dini uiite research?

Utamsikia akisema hii imesomeshwa sijui chuo gani marekan mara profesa fulani aliniomba nimtumie nakala asijue wazungu humsikiliza yeyote hata kama mwendawazimu alimradi wapate kumsoma ufahamu wake.

Inaonekana huujui misingi ya uandishi wa Historia.

Kila mtu anapo andika Historia huwa anakusudia jambo fulani na kuchagua eneo husika ambalo atapata taarifa za uhakika.

Kama alikusudia kuandika Historia ya Tanganyika na akawapata watu sahihi wa kumpa Historia hiyo hapo hapo Kariakoo. Hakuna shida cha msingi ziwe habari za kweli na zenye ushahidi.

Kingine, lazima tuambiane ukweli hakuna watu wanao tunza kumbukumbu na Historia zao kuwazidi Waislamu.

Ukitaka kuamini hilo, fatilia upande wa wazungu wao walianza kuandika Historia lini, iwe ya kwao au ya watu wengine, halafu uje kwa Waislamu.
 
Master,
Ukisoma ''Kleist Sykes: The Townsman,'' utakuta imeandikwa kuwa Wakristo hawakuwa wengi katika harakati hizi kwa kuwa walikuwa wanakatazwa na viongozi wao kushiriki katika siasa.

Hii ndiyo TAA Political Subcommitte 1950:
  1. Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (Mufti wa Tanganyika)
  2. Sheikh Said Chaurembo
  3. Abdulwahid Sykes
  4. Hamza Mwapachu
  5. Dr. Vedasto Kyaruzi
  6. Steven Mhando
  7. John Rupia
Sheikh Hassan bin Ameir akiuza kadi za TANU misikitini.
Angalia Baraza la Wazee wa TANU hapo chini:

View attachment 3082447
Naelewa kabisa kwamba wengi walikuwa waislam kwa mazingira ya ukanda na globalism centre ya pwani, hilo halipingiki, na kama ulivyosema kwenye TAA wakristo hawakuwa wengi, that means walikuwepo, ila napenda Kujua je walikuwa wanachukua uwingi wao wa kidini kama issue ya faida au walijumuika tu kama wapigania nchi yao?
Na kama haikuwa issue ya faida kuwa wadini wengi kuliko wengine, je Kuna umuhimu wa kulijadili kifaida Leo?
Jambo la kuelewa ni usilee kuwagawa watu makundi mawili wakati Kuna makundi mengi ya Dini ambayo yalishiriki, Hakuna Dini kubwa au ndogo iliyo Bora Kwa maisha ya watu.
Je kuna mahali wakristo wamejinasibu kama wao ndio walikuwa wapigania uhuru kuliko wenye Dini nyingine za kimataifa na kwamba ama dini ndogo hawakushiriki?

Ieleweke kwamba Dini hizi zote Ni Sawa Kwa misingi ya base Yao ya sadikia ambayo ni ile tu dhana moja ya ahadi za maisha mazuri na au mabaya/mateso yaliyoahidiwa kwa mafunzo yatokanayo na maazimio ya vikao vya mitume jisadikia na wafuasi wa mababu kwa hadhara/warithi ambayo ni sadikika kuwepo/kutowepo baada ya maisha ya Sasa.
La maana ni kuacha watu wafunzwe na mafunzo bila kukampenia wala kubeza ili waamini wasubiri zawadi za Dini zao kulingana na thawabu iliyotangazwa wataikuta huko maisha mapya.
Criticism unayopata Si kwamba watu wanabeza au kupuuza historia nzuri unayowasilisha, shida inaanzia unapofikiri Dini ilimuendesha mtu au kundi la watu kufanya aliyofanikiwa. Ruhusu hazina yako ya ndani ipokee hii misingi mipya ya kizazi cha Sasa.
 
Nak...
Huhitaji fimbo kunisikiliza.
Leo asubuhi naangalia viewers kwenye video zangu mbili:

Gumzo la Ghassani kuna watu 10K (Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir)
Kalamutv kuna watu 19K (Sheikh Suleiman Takadir)

Hawa hawajashikiwa fimbo na yeyote.
Viewers wachache sana hao ukilinganisha na idadi ya waislam wenye smartphone.
Mbn kwenye video za zuchu na connection wanakuwaga fasta sana kuangalia?
 
Kingine, lazima tuambiane ukweli hakuna watu wanao tunza kumbukumbu na Historia zao kuwazidi Waislamu.

Ukitaka kuamini hilo, fatilia upande wa wazungu wao walianza kuandika Historia lini, iwe ya kwao au ya watu wengine, halafu uje kwa Waislamu.
Ngano hizi🤣😂😆
 
Naelewa kabisa kwamba wengi walikuwa waislam kwa mazingira ya ukanda na globalism centre ya pwani, hilo halipingi, na kama ulivyosema kwenye TAA wakristo hawakuwa wengi, that means walikuwepo, ila ninakupenda Kujua je walikuwa wanachukua uwingi wao wa kidini kama issue ya faida au walijumuika tu kama wapigania nchi yao?
Na kama haikuwa issue ya faida kuwa wadini wengi kuliko wengine, je Kuna muhimu wa kulijadili kifaida Leo?
Jambo la kuelewa ni isilee kuwagawa watu makundi mawili wakati Kuna makundi mengi ya Dini ambayo yalishiriki, Hakuna Dini kubwa au ndogo iliyo Bora Kwa maisha ya watu.
Je kuna mahali wakristo wamejinasibu kama wao ndio walikuwa wapigania uhuru kuliko wenye Dini nyingine za kimataifa na kwamba ama dini ndogo hawakushiriki?

Ieleweke kwamba Dini hizi zote Ni Sawa Kwa misingi ya base Yao ya sadikia ambacho ni Ile Tu dhana moja ya ahadi za maisha mazuri na au mabaya/mateso yaliyoahidiwa kwa mafunzo yatokanayo na maazimio ya vikao vya mitume jisadikia na wafuasi wa mababu kwa wasikilizani/warithi ambayo ni sadikika kuwepo/kutowepo baada ya maisha ya Sasa.
La maana Ni kuacha watu wafunzwe na mafunzo bila kukampenia ili wasubiri zawadi za Dini zao kulingana na thawabu iliyotangazwa wataikuta huko maisha mapya.
Criticism unayopata Si kwamba watu wanabeza au kupuuza historia nzuri unayowasilisha, shida inaanzia unapofikiri Dini ilimuendesha mtu au kundi la watu kufanya aliyofanikiwa. Ruhusu hazina yako ya ndani ipokee hii misingi mipya ya kizazi cha Sasa.
Nawaza kama ingetokea mtu wa aina kama ya mzee huyu ndo angekuwa kiongozi wa Tanzania badala ya Nyerere (na wanavyodai wao ndo walikuwa wengi kwenye harakati za kupigania uhuru) kwa hiyo miaka 24 Tanzania ingekuwaje....
Wa imani nyingine uhuru wao wa kuabudu ungekuwaje.......
 
Naelewa kabisa kwamba wengi walikuwa waislam kwa mazingira ya ukanda na globalism centre ya pwani, hilo halipingiki, na kama ulivyosema kwenye TAA wakristo hawakuwa wengi, that means walikuwepo, ila napenda Kujua je walikuwa wanachukua uwingi wao wa kidini kama issue ya faida au walijumuika tu kama wapigania nchi yao?
Na kama haikuwa issue ya faida kuwa wadini wengi kuliko wengine, je Kuna umuhimu wa kulijadili kifaida Leo?
Jambo la kuelewa ni usilee kuwagawa watu makundi mawili wakati Kuna makundi mengi ya Dini ambayo yalishiriki, Hakuna Dini kubwa au ndogo iliyo Bora Kwa maisha ya watu.
Je kuna mahali wakristo wamejinasibu kama wao ndio walikuwa wapigania uhuru kuliko wenye Dini nyingine za kimataifa na kwamba ama dini ndogo hawakushiriki?

Ieleweke kwamba Dini hizi zote Ni Sawa Kwa misingi ya base Yao ya sadikia ambayo ni ile tu dhana moja ya ahadi za maisha mazuri na au mabaya/mateso yaliyoahidiwa kwa mafunzo yatokanayo na maazimio ya vikao vya mitume jisadikia na wafuasi wa mababu kwa hadhara/warithi ambayo ni sadikika kuwepo/kutowepo baada ya maisha ya Sasa.
La maana ni kuacha watu wafunzwe na mafunzo bila kukampenia wala kubeza ili waamini wasubiri zawadi za Dini zao kulingana na thawabu iliyotangazwa wataikuta huko maisha mapya.
Criticism unayopata Si kwamba watu wanabeza au kupuuza historia nzuri unayowasilisha, shida inaanzia unapofikiri Dini ilimuendesha mtu au kundi la watu kufanya aliyofanikiwa. Ruhusu hazina yako ya ndani ipokee hii misingi mipya ya kizazi cha Sasa.
Master....
Nimekuwekea kwa majina yao waasisi wa African Association 1929.

Hawa hawakuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika mpaka nilipowaandika katika kitabu cha Abdul Sykes.

Halikadhalika Political Subcommittee ya TAA 1950..

Ushajiuliza kwa nini?

Ilikuwa unajua kama Abdul na Ally Sykes kadi zao za TANU ni nos. 2&3?

Kwa nini historia hii yote ikafutwa?
Hujajiuluza swali hili?
 
Hujajiuluza swal
Waliowaondoa hao kwenye history yao muhimu bila Shaka walilenga kuua uhusika wa watu Kwa sababu mbalimbali za Tabia za kisiasa, sio kidini. Mfano Nimejifunza kupitia kurukwa rukwa taarifa za marehemu Lowssa hitima zake za Uhai wake. Hivyo tofauti za kisiasa hupindishiana Sana historia
 
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili.

Pia soma:
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?

Haipingwi hadharani kwa vile watu wanaidharau maana anaongelea Tanganyika kwa reference ya kitongoji cha Kariakoo.
 
Waliowaondoa hao kwenye history yao muhimu bila Shaka walilenga kuua uhusika wa watu Kwa sababu mbalimbali za Tabia za kisiasa, sio kidini. Mfano Nimejifunza kupitia kurukwa rukwa taarifa za marehemu Lowssa hitima zake za Uhai wake. Hivyo tofauti za kisiasa hupindishiana Sana historia
Master...
Waliofuta historia hii HOFU yao kubwa ilikuwa harati zote za kuunda African Association 1929 Hadi TANU 1954 Waislam wako mstari wa mbele.
 
Huihui,
Kwanza unajua hatua mswada unapitia hadi Oxford wanachapa kitabu?
Ningeweza kusema mengi lakini ya nini.

Kitabu hiki "The Torch on Kilimanjaro," sasa kimechapwa mara mbili na watoto wa shule za msingi Kenya na Uganda wanakisoma.

Nimetosheka na hili.

View attachment 3081509
Toleo la Kwanza
View attachment 3081512
Toleo la Pili
Hii kali yaani nchi hizi zisome History yetu kwa kitabu hiki!
 
Nyio...
Mimi hutazama nyuma na nikashangaa.
Imekuwaje?

Lakini Allah ni muweza.
Ndiyo mimi huyo na wewe si wa kwanza kustaajabu.

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards​
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED​
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili.

Pia soma:
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?

Kama mtu huijui historia utapinga nini?
 
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili.

Pia soma:
Au tunaongoja sheikh Mohammed Said amefariki ndio tuitane Nkurumah hall ili tukose majibu?

Sheikh Mohamed ni mwanazuoni bobezi wa historia ya Tanganyika na amejipambanua kwa hoja za kitafiti yakinifu. Ni vile tu tuna hulka za kiswahili za kubeza ukweli kwa kuangalia nani ameusema ukweli huo.

Sheikh Mohamed ni binadamu na sifa ya kibinadamu ni kuwa na mapungufu fulanifulani. Lakini kwa hakika, kwa ugwiji wa historia ya Tanganyika, hakuna wa kumfikia kwa maarifa,weledi na nia ya kutufundisha hapa jukwaani.

Mzee wangu,pokea maua yako. Nakuzika ungali hai.
 
A...
Ahsante sana ndugu yangu.
 
Malaria2,
Hiyo picha ya mkusanyiko wa wananchi imepigwa na Mohamed Shebe.

Shebe ndiye alikuwa mpiga picha wa kwanza wa TANU na mpiga picha wa Nyerere.

Mimi kanipiga picha yangu ya kwanza mwaka wa 1953 na ninayo hadi leo na hapa jamvini nimepata kuiweka.

Katika hiyo picha angalia mkono wa kushoto utaona kuna sehmu nyeusi.
Hapo ndipo wakikaa wanawake na huo weusi ni mabaibui.

View attachment 3080964
Mohamed Shebe
View attachment 3080965
Safari ya Kwanza Nyerere UNO 1955M​

Safari ya Kwanza Nyerere UNO 1955​
Mzee wangu Mola akuhifadhi na azid kukupa siha njema kuna wengi ni watumwa wa fikra sababu hawataki kukubali ukweli na kufahamu msingi halisi wa Taifa lao
 
Back
Top Bottom