didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Nimekuelewa vyema ndg mtoa maoni, umenena sahihiJisemee wewe aroh!
Kingine, acha kujitia moyo kwa maneno ya wajinga walioaminishwa eti bila ccm hakuna Amani
Wenye akili timamu wote, wasomi na waelewa, hawaezi kwenda kupoteza muda wa kupiga kura ilihali wakijua mshindi ni yule asiyepigiwa kura?? Yaani ccm..?
Hapa wakiamua wanazima vyama vyote kwa msajiri wanabakia wao tu yaani ni humu tu wabunge 380 mpinzani Esta bulaya 1 ni kujipigia tu🤣Kwasababu kuna vibaka,wahuni, majangili in a well dressed clothes wanauiba uchaguzi kwa gharama ya damu kwa watu wasio na hatia ingali yenyewe ikija na kujisifia kua ni mzee ya kazi chafu. Pathetic!!! mihuni,michafu,miduanzi,mauaji. pumbavu zao.
Kuna tatizo kwa wananchi wenyewe pia wanachagua vyama na sio kumchagua mgombea sahihi, wanachoangalia kwa mgombea ni chama anachogombea ndio maana hata huko ccm watu watalazimika tu kumchagua Samia hata kama hawamkubali ila kwa sababu ya chama, ni sawa na tulivyoona wanachama wa Chadema kumchagua Lowassa kisa ndio yupo chadema.Hata reform zikifanyika I will never vote kwakuwa sion MTU anayeweza kuleta positive changes
Huu ni ukweli mchunguKuna tatizo kwa wananchi wenyewe pia wanachagua vyama na sio kumchagua mgombea sahihi, wanachoangalia kwa mgombea ni chama anachogombea ndio maana hata huko ccm watu watalazimika tu kumchagua Samia hata kama hawamkubali ila kwa sababu ya chama, ni sawa na tulivyoona wanachama wa Chadema kumchagua Lowassa kisa ndio yupo chadema.
Duh 🤣🤣🤣🤣Haki yangu ya kupumzika nyumbani baaaaaasi
True na Chadema walikosesha nafasi wao wenyewe ya kuingia ikuluKuna tatizo kwa wananchi wenyewe pia wanachagua vyama na sio kumchagua mgombea sahihi, wanachoangalia kwa mgombea ni chama anachogombea ndio maana hata huko ccm watu watalazimika tu kumchagua Samia hata kama hawamkubali ila kwa sababu ya chama, ni sawa na tulivyoona wanachama wa Chadema kumchagua Lowassa kisa ndio yupo chadema.
Kipindi kile nafasi ilikuwa yao ila sijui pepo lilitokawap yule mangi akatupiga jiweTrue na Chadema walikosesha nafasi wao wenyewe ya kuingia ikulu
Interest zilimponza kwakuwa the guy is businessmanKipindi kile nafasi ilikuwa yao ila sijui pepo lilitokawap yule mangi akatupiga jiwe
Nilisikia kwa MMM kuwa waliahidiana donge nono ikiwa mzee mvi atashika kijiti sababu wote ni ukanda ule ule.....interest ziliwatafunaInterest zilimponza kwakuwa the guy is businessman
He can't take high risk
Labda machawa ndo mtapiga kura.Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Mzee wangu mara ya mwisho ilikuwa 1995 baada ya hapo hata kusikia kampeni hataki na akikusikia unakimbiakimbia kwenye kushabikia siasa anabaki kukusikitikia.....wanaelewa sanaKwa mara ya kwanza maishan mwangu kupiga kura ni 2015 nikamchagua LOWASA (Marehemu), nilistaajabu baadae aliporudi kwenye Chama chake cha awali.🚮
Kuanzia pale nilijisemea "Wanasiasa wote ni matapeli tuu" na nikajiapiza sitawahi kupiga tena kura.
Hata kabla hamjaanza hizi NRNE mimi tayari nilikuwa na sheria zangu.
Hakika 🤣Labda machawa ndo mtapiga kura.
NRNENo reforms no election
Advantage of the incumbents (dr. Bashirilu alimaliza)Au tuamue kubaki na kura zetu ndani?
Nilisikia kwa MMM kuwa waliahidiana donge nono ikiwa mzee mvi atashika kijiti sababu wote ni ukanda ule ule.....interest ziliwatafuna
Siri ya kupiga kura kwa huru na haki nchi hii ni ww kubakia nayoAdvantage of the incumbents (dr. Bashirilu alimaliza)
Sipigi kura kwasababu mshindi anajulikana. Uchaguzi siyo huru na wa haki