Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
-
- #61
It was already planned to destroy nguvu ya chadema 2015....ile siku ma mvi anarudi Fisyemu niliumia mno aloohMamvi alikuwa anajua hawezi kuwa Rais.
So alienda kule kimkakati , kwahiyo Chadema 2015 ili waingie ikulu ilibidi wayakate matokeo na kuingia barabarani ,
Ila as you maandamano yakitokea biashara zitasimama , watu watakufa n.k
Nenda tu ukatiki mwenye akili timamu ila sisi tusio na akili timamu hatuwezi kushiriki kwenye uchaguzi batiliAcha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Binafsi sitapiga kura. Niliamua hivi baada ya kushuhudia ccm wakipiga kura siku 2 kabla ya tarehe ya uchaguzi. Ilikuwa 2020. Pale ofisi za ccm mkwajuni dar.Siri ya kupiga kura kwa huru na haki nchi hii ni ww kubakia nayo
Wapumbavu sana chadema .It was already planned to destroy nguvu ya chadema 2015....ile siku ma mvi anarudi Fisyemu niliumia mno alooh
Hilo lipo wazi tutatiki kwa wake zetuNenda tu ukatiki mwenye akili timamu ila sisi tusio na akili timamu hatuwezi kushiriki kwenye uchaguzi batili
Mwanaume kabisa unayesimamisha vizuri ukapange mstari kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshaamuliwa kabla ya kura?Acha ubwege katafute kazi ya kufanya, nani amekuambia kuna mtu mwenye akili timamu hataki kupiga kura? Watanzania wazalendo tuna vichinjio na OKTOBA TUNATIKI km kawaida
Wengi walishuhudia hata huku kimara ila utasemea wapi suala hilo ikiwa ukienda tu kituoni wanaanza na weweBinafsi sitapiga kura. Niliamua hivi baada ya kushuhudia ccm wakipiga kura siku 2 kabla ya tarehe ya uchaguzi. Ilikuwa 2020. Pale ofisi za ccm mkwajuni dar.
Wru hawa wasiokuwa na aibu waliwakodi watto toka mitaani wakawapìkia wali maharagwe na kuahidi kuwapa 5000 baada ya zoezi.
Ngoja tuone uongozi huu mpya maana Lissu anawatoa mapumba ili kubaki na mchele, subiria tuone uwenda speed itaongezeka kama 2015Wapumbavu sana chadema .
Nakumbuka hawa wapumbavu niliwapambania mpaka niliwachangia Ada yangu Ila at the end wakamleta mamvi na kuwapoteza watu maboya.
Wasitegemee kuja kuingia ikulu kwakuwa wameshajipa laana
Mshindi alipita kwenye kikao chao DomMwanaume kabisa unayesimamisha vizuri ukapange mstari kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshaamuliwa kabla ya kura?
Siku ya uchaguzi 2020. Nilikuwa kasulu kigoma. Kuna sehemu panaitwa jumba la maendeleo. Pia nilishuhudia affair ya saa 11 kura zikiingizwa/sokomezwa kwenye mabox.Wengi walishuhudia hata huku kimara ila utasemea wapi suala hilo ikiwa ukienda tu kituoni wanaanza na wewe
Haya madudu yanafanyika sanaBinafsi sitapiga kura. Niliamua hivi baada ya kushuhudia ccm wakipiga kura siku 2 kabla ya tarehe ya uchaguzi. Ilikuwa 2020. Pale ofisi za ccm mkwajuni dar.
Wru hawa wasiokuwa na aibu waliwakodi watto toka mitaani wakawapìkia wali maharagwe na kuahidi kuwapa 5000 baada ya zoezi.
Wakisifia wanapigwa kitita cha Tsh 5000 na nauli then wanakuja kulalamika mtaaniSiku ya uchaguzi 2020. Nilikuwa kasulu kigoma. Kuna sehemu panaitwa jumba la maendeleo. Pia nilishuhudia affair ya saa 11 kura zikiingizwa/sokomezwa kwenye mabox.
Leo unakuta mjinga/ chawa mmoja anakuambia chama kinakubalika sijui ujinga gani!!
Isichaguliwe na raisKwanza tume huru kwanza.
Wajinga hao ccm. Wajichague wenyewe kwani si mshindi anajulikana?Wakisifia wanapigwa kitita cha Tsh 5000 na nauli then wanakuja kulalamika mtaani
Lisu hanunuliki wala hatishwiNgoja tuone uongozi huu mpya maana Lissu anawatoa mapumba ili kubaki na mchele, subiria tuone uwenda speed itaongezeka kama 2015
Ndio maana nikasema huyu mnyiramba atawalaza watu midomo wazi na wakiwa wamechoka snaaLisu hanunuliki wala hatishwi
Tatizo mapandikizi ni mengi, unafanya nayo kazi kwa muda mrefu lakini ukija kusituka inakuwa tayari too lateNgoja tuone uongozi huu mpya maana Lissu anawatoa mapumba ili kubaki na mchele, subiria tuone uwenda speed itaongezeka kama 2015