Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

Ngosha hakupenda maendeleo ya wananchi kabisa. Yeye alipenda sifa tu. Ndo mana katika kipindi chake chote hakuwahi kuajiri tu. Maendeleo ni economic welfare ya watu siyo sifa za kusifiwa tu. Ngosha asingesaini hasa akisikia kelele za wajinga na unajua watanzania asilimia tisisini ni darasa la saba hivyo hawajui chochote. Na ngosha aliwapuuza wasomi akawakumbatia mbumbum u ndoa a nchi ilikuwa ICU
 
Tulia wewe, bunge limepitisha.
 
Mkataba wa kijinga tumejifunga kwa mwarabu halafu unatuonesha faida zake? hauna akili.

Hakuna faida yoyote tutakayopata itakayozidi ile atakayopata mwarabu, kwasababu msaliti ameitoa bandari yetu kwao milele.
Mkuu,tatizo lako ni mkataba au "Mwarabu?"

Kitendo cha wewe kuandika "Mwarabu" badala ya kuiandika kampuni DP World kinaonyesha kama vile unaendeshwa na chuki ya ukabila,kutaja race badala ya jina la kampuni ni chuki binafsi dhidi ya hiyo race kwa mtazamo wangu,

Hebu liweke wazi hili ili na mimi nikuelewe.
 
Nonsense.
 
Huwa sijadili ujinga ndugu kama huna hoja pita kule..

Nauliza Kwa DP World ku operate Bandari Tanzania itapata hasara gani? Maana faida ni hizi hapa 👇
Kama imekushinda Mbeya hutaiweza Bandari ya Salama kwa Wazaramo😄😄😄

Asiye na kwao ni mtumwa!
 
😂😂😂
 
Kama angekuwa mzungu ningeandika mzungu, kama angekuwa muhindi ningeandika muhindi, na hata kama angekuwa msomali, ningeandika msomali pia.

Hivyo sijui kipi hasa kinachokukera nikimtaja mwarabu!.
 
Angesaini tu!
 
Ofcoz lengo la mkataba siyo baya, but kinacholeta mkanganyiko ni terms za mkataba, ni bora ziboreshwe au zitolewe ufafanuzi zaidi.
 
Tukitaka maendeleo hii mikataba haiepukiki, Tanzania ni nchi kubwa na yenye neema nyingi kwa kuwa hatuna wazalendo wa kweli wa kuiendeleza ndiyo maana tupo hapa tulipo. Kwa sasa wacha tu tuingie mikataba ambayo itatufungua macho, mbona huko nyuma tuliingia mikataba mibovu kuliko huu wa bandari, na kwa kuwa hata mkataba halisi haujawekwa sisi tumeshaanza kelele, kwa sababu tunajua watu wanapoingia mikataba nchini kuna upigaji, hivyo basi wacha watu wachache waneemeke na nchi ipate maendeleo huwezi kujua huko mbeleni hii bandari inaweza kuwa muokozi mkubwa kwa watanzania katika kukuza uchumi.
 
Kama angekuwa mzungu ningeandika mzungu, kama angekuwa muhindi ningeandika muhindi, na hata kama angekuwa msomali, ningeandika msomali pia.

Hivyo sijui kipi hasa kinachokukera nikimtaja mwarabu!.
Kuna sehemu nimesema kuna kitu kimenikera? najua unaandika kutokana na ufinyu wa uelewa kwa unachokiandika kuhusu kutaja race badala ya jina,Dunia inatoka huko kwenye racism na tribalism,hata Nyerere alilipigia sana kelele hili la ukabila,halafu nijibu kwa lugha ya staha tu coz huko unapotaka kuelekea sidhani kama utaweza kupamudu.
 
Kwa hiyo kama tunataka maendeleo ni lazima kusaini mikataba ya kipumbavu?

Ndo maana nishaacha kabisa kujali…
 
Mbona ikulu imekamilishwa,bwawa la Nyerere je? Vitu walivyovipanga pamoja ilikuwa Lazima wavitimize la sivyo wananchi tungekasirika
Hivi kwa akili zake kisoda angeweza kushiriki kupanga chochote, yeye alikuwa mtu wa kuagizwa kafanye hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…