Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

Ndo watu wana ku block mpaka unachanganyikiwa na kuanza kuchanganya madesa.

GTFOH.
Acha kua mjinga wewe,huyo alivyonijibu kwa lugha ya hovyo hukuona? mimi kumjibu ndio umeona? ni Double standard zako au hiyo pia ni ID yako nyingine?
 
Acha kua mjinga wewe,huyo alivyonijibu kwa lugha ya hovyo hukuona? mimi kumjibu ndio umeona? ni Double standard zako au hiyo pia ni ID yako nyingine?
Ushaanza kuchanganya madesa.

Una kichaa?
 
Cha pekee nilichoshindwa ni uvumilivu kwa majuha kama wewe.

🖕
Umeshindwa kuisimamia hoja yako,umeishia kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,juha ni wewe coz Majuha huamini kua wao ndio wapo timamu,na watu ambao ni timamu ndio majuha,huamini wakifanyacho wao ndio sawa kuliko kifanywacho na wenye utimamu wa akili.
 
Naona nijitolee tu kukupa somo dogo la sheria ya mikataba, maana hujielewi, unahangaika kunijibu kwa kufuata kauli za kuambiwa na serikali, wakati mimi nimeyaona makubaliano yao haramu kwa macho yangu.

Iko hivi, kisheria; MoU na Preliminary Agreement huwa ni kama road map inayoelezea mkataba utakuwaje, sasa kama umeshajifunga kwenye road map, kule mbele ya safari huwezi kuwa na pakutokea, ndio maana wengi wanaoelewa haya mambo wanalalamika sasa

Ushauri wangu kwako, kwanza jifunze mwenyewe kujisomea badala ya kusubiri kuambiwa na serikali, kwani madhara yake utazidi kuwa mjinga zaidi ya ulivyo sasa.
 
Form Fours wakianza kuuliza maswalu Kuntu kama yako, watawala wana kazi, kazi haswa na n i kweli - Ngosha na Viraza ni usiku na giza, hakuna cha faida za ndondocha za kusadikika . Tatizo wengi wao form four bado wanapambania kupangwa form five sijui Tandahimba na Songea Boys, sasa ngoja waje waamuke. Kitaumana tu, si muda mrefu...
 
Ni kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa juu ya hili jambo kwa nilivoliona mimi, kwa maneno macheche sana niseme mimi kama mimi naweza kuwa na mtazamo tofauti ambao ntapenda kusema kuwa

Kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kwa kina juu ya hili suala ni jambo ambalo kwa maoni yangu naona kuwa, maneno ambayo naweza kueleza kwa ufupi sana na kutokana na mawazo yangu.

Nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi nigetamani kusema inabidi maelezo haya nieleze tu kwa maneno machache kabisa niweke wazi juu ya maoni yangu na mawazo yangu nayaeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza sina la maana ndungu zangu nawasalimia tu mimi ni mgeni humu jf naombeni ushirikiano wenu
 
Paragraph ya kwanza na ya pili nimeipenda zaidi maana ina ukweli mwingi ndani yake !! 😅😅🙏🙏
 
Hakuna kinachokusumbua zaidi ya Ukabila (Sukuma Gang)
 
Duuuh hata wewe mwenye chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…