Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

Kwa unyama uliofanyika asilimia kubwa ya watu walilaani vikali naamini hata waliondani ya Majeshi yote waliguswa na wote tuna hamu kuona haki inatendeka sitaki kuamini kwamba kwamba kama kuna yeyote anayehusika kwa namna moja au nyingine aachwe eti kwasababu atachafua taasisi kosa la jinai ambalo linamuhusu mtu binafsi linakuwaje la taasisi ? Kesi ni ushahidi na kwa bahati mbaya kesi za jinai ni lazima kuthibitisha kosa bila kuacha shaka yoyote hivyo story za kwenye magazeti zisizo na mashiko haziwezi kusaidia maana mwisho wa siku anabakia Shaidi na Mahakama.
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza , Giza, Tena Giza nene, Totoro.
Sometime ukiwa mbumbumbu Kila kitu unakuwa unapenda kuhoji na ukipewa majibu huridhiki nayo coz pindi unapouliza tu majibu unayo!
 
Huyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Sure kwa ufupi wake hafiki futi tano bado nawaza sana hata wenzetu huko wanabid watushangae kidgo
Urefu sio kigezo Cha kuingia jeshini hayo mambo Yako polisi huko ndio maana unaona Wana matukio ya ajabu ajabu wanayafanya Kila kukicha.
 
Umechanganya siongelei KMKM nmeongelea KM wanahusika kuserve High criminal suspects
Wanapeleka watuhumiwa ambao tayari walishasomewa mashtaka na wapo mahabusu ya magereza na siyo mahabusu wenye fresh case ambao wapo vituo vya polisi, hiyo kesi ilikua bado watuhumiwa hawajasomewa mashtaka kwahiyo wanaopeleka mtuhumiwa mahakamani ni polisi baada ya kusomewa mashtaka ndo wanaenda kukabidhiwa magereza kwahiyo KMKM wataanza ku escort kwanzia tarehe inayofata ambayo wamepangiwa baada ya kusomewa mashtaka.
 
Nimeelewa sasa
Ila sio KMKM ni kikosi cha kuzuia na kupambana na Magendo Zanzibar ni KM MAGEREZA
 
Kusema ukweli ile video nimeiangalia na hao watuhumiwa wa jana nimewaona....yule aliekinyonywa uboo jana mbona hakuonekana? Yule aliekamuinamisha binti mbona naye hakuonekana jana? Hili ni igizo tu
 
Washkaji zangu kwa utaifa
Kikombe hichi na kiwaepuke.
Sote tumetenda dhambi yafaa kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awasamehee na awaepushe na yote
 
Naomba kuuliza hao wajeda walitumwq na huyo mama Polisi? Na km ndio aliwatuma hiyo connection ya wajeda na mama Polisi ikoje ikoje
 
Kwani kufungwa pingu ni Hukumu ya mahakama au sheria. Iliyotungwa na bunge? Sababu za kumfunga mtu pingu ni nini? Wao ndio wataalamu wanajua nani afungwe na nani asifungwe na Ipo kwenye discretion Yao
 
Inawezekanaje mwanajeshi awekwe ndani kituo cha polisi,akafungwe na raia? Kumbukeni,polisi ni raia wa kawaida,na yupo chini ya uangalizi wa utawala wa kiraia si wa kijeshi.

Navojua mimi,hiyo kesi ingehusisha wanajeshi,ilikuwa wafungwe na Military Police,na wanajeshi hao ndo wangekuwa mstari wa mbere.
Kama ni tofauti,basi kuna shida somewhere.

Baada ya kukamatwa,uongozi wa jeshi ungetaarifiwa,na wahusika wangefatwa na MP. Labda wanajeshi bandia,au lile jeshi la mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…