Kwa unyama uliofanyika asilimia kubwa ya watu walilaani vikali naamini hata waliondani ya Majeshi yote waliguswa na wote tuna hamu kuona haki inatendeka sitaki kuamini kwamba kwamba kama kuna yeyote anayehusika kwa namna moja au nyingine aachwe eti kwasababu atachafua taasisi kosa la jinai ambalo linamuhusu mtu binafsi linakuwaje la taasisi ? Kesi ni ushahidi na kwa bahati mbaya kesi za jinai ni lazima kuthibitisha kosa bila kuacha shaka yoyote hivyo story za kwenye magazeti zisizo na mashiko haziwezi kusaidia maana mwisho wa siku anabakia Shaidi na Mahakama.