Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

Huyo dogo inasemekana kwenye mafunzo ya ujeda alishangaza kutokana na ufupi wake ikabidi wamchukue ili wampeleke kujifunza ukomandoo, upo uzi humu unaelezea sifa zake ikiwa ni pamoja na bangi kwa sana
Zelewesk (nyundo)
 
Kusema ukweli ile video nimeiangalia na hao watuhumiwa wa jana nimewaona....yule aliekinyonywa uboo jana mbona hakuonekana? Yule aliekamuinamisha binti mbona naye hakuonekana jana? Hili ni igizo tu
Hiyo video umeiona wapi ?
 
You are completely Wrong and out of point
 
Mkuu mwanajeshi anakabiliwa na sheria zote mbili, za kiraia na kijeshi.

Kokote akipatikana na hatia anahukumiwa na kutumikia adhabu.

Akifanya makosa ya kijeshi yasiyo ya mauaji kambini, kama ulivyosema atahukumiwa kambini.

Kesi ya mauaji yasiyo ya 'active service' akiyafanya kambini pamoja na kesi za jinai au za madai za mitaani, anaburutwa mahakama kwa kina 'hakimu mkazi' kama kawaida na adhabu anatumikia.
Kifupi ni hivyo.
 
Master kuna mwanajeshi jirani yangu yaani siyo rolimodo kabisa!
 
Hakuna KM hapo mkuu, hao wote ni Polisi wapo Task Force Dodoma. Ni watu haswa, usijichanganye.
 
Alikuwa na kipala ghafula nywele zimekuwa kubwa!

Alikuwa mrefu na mwembamba ghafula Kawa ndava na Kawa mfupi!

Hizi kamela za simu zetu zinachanganya sana.
 
Yule wanamchukulia kijeshi na ile mikono chuma inayomshindilia chini mi heri ya pingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…