Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

Uhuni sio.mzuri,ona malapulapu yake halafu utaambiwa sijui $1000
 
Unaonekana mjuaji sana eeh? 😊
 
SAWASAWA!
 
Wabongo wanaa sana. Wanaangalia ushabiki wake kwa msaani badala ya kumwambia ukweli.
Acha kupoteza muda wako kuwapa elimu watu waliojaa ujinga sugu walio ndani ya taifa lililojaa majinga na mapumbavu yaliyotukuka
 
Hiyo fasheni yake yeye....kila mtu na fasheni yake...ipo fasheni ya nusu uchi
Kichwa cha habari kinasema imekuwaje kaingia ubalozini kwa jinsi alivyo vaa?
Ndio nilikuwa nahoji kwani kavaa vbaya wapi?
Sijazungumzia wasanii wanaovaa nusu uchi nazungumzia mada iliyopo mezani na hio picha iliyopo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…