100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hio nguo aliyovaa ni ya kihuni?Hii ndio athari ya kwanza kukosa elimu ya etiquettes na pili kutumia punga kama designer anaekuvalisha.
Kwa level aliyofikia Diamond kuna baadhi ya mambo inapaswa ajifunze ikiwemo aina ya mavi kwa mlingano wa eneo husika.
Sasa yeye kila kitu anachukulia usela kutokujua kuna dress code ya sehemu zenye hadhi.
Sasa hicho unachokijua ni UPUMBAVU!Mjuaji maana yake.
Mimi nimeongea ninachojua unasema mjuaji
Mkuu umetisha..Utumwa wa kifikra unawasumbua watu weusi
Mavazi ni Kama cover ya simu tu wala hayana impact yeyote .
Diamond anafanya baishara ya muziki na msaniii yeye ndo biashara
Ikiwa utamzuia kuvaa hivyo hakikisha pia unamzuia kusuka kuvaa hereni kuchora tatoo n.k you have to Escape from that cage .
Diamond na kairuki (Balozi) nani ambaye amekuwa na impact katika jamii kwa kuzingati kutoa ajira , kulipa kodi ,
Tukiendelea hivi tutakuwa na Taifa la watu wajinga Sana
Heri wenye moyo safi, sio heri wavaa “formal” hao washenzi na suti zao usiku kazi kula malaya tu na kuiba hela za walala hoi. Hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu ya hayo masuti kila mtu avae nguo zake . Alafu huyo mmoja anavaa sio kwamba anapenda kuna miongozo ina mlazimisha avae hivyo huyu mwengine ni mpambanaji anakula kwa jasho na damu ana haki ya kuvaa hivyo ndio kazi yake hiyo.Mada inazungumzia mchango au mavazi? Acha ushabiki mandazi
Ya kistaarabu sana tena.Hio nguo aliyovaa ni ya kihuni?
kwakweli, hizi nguo ni za kuvaa stageni ten show za saa tisa usiku, kama ndo hivi giggy mane nae aende ofisini kwa balozi na taulo, au? ifike sehemu ofisi ziheshimike,View attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Sasa hicho unachokijua ni UPUMBAVU!
alikuja nchini bwana mmoja anaitwa “Idris Elba” (Yeye ni mcheza filamu maarufu kutoka mataifa ya huko mbali)
alifikia Zanzibar na akapata wasaa wa kutembelea ikulu na mkewe na kuonana na Rais wa Zanzibar… Idris na huyo kijana wenu unayedai kaanzisha ajira nyingi na kusaidia jamii huku ukirusha maneno kwamba Civil Servants ni wezi kutokana na ripoti za CAG ni nani tajiri mwenye uwezo mkubwa kifedha na aliyeanzisha vyanzo vyake mwenyewe vya kipato na kuwasaidia wengine kwenye jamii?!
Ulimuona alivyovaa na alivyo-behave alipokuwa pale?!
Saa zingine kama hujui protokali uwe unakaa kimya mapenzi binafsi ya kijinga na kipumbavu yasikufanye huo ujuaji wako umpayukie kila mtu… hizo ofisi alizozitembelea wewe unadhani au unafkiri ni za mchezo mchezo?! Huyo aliyekaa nae hapo kicheo unamtambua kama nani wewe?!
Mwanadiplomasia/balozi anayeiwakilisha nchi/Rais ndiye msuka mipango ya kuleta wawekezaji wa mabilioni kutoka ughaibuni na kiungo mzuri wa uhusiano kimataifa ndiyo umfananishe na paka gani?Kua wewe!Still a kid!Ana mchango mkubwa kwenye Taifa kuliko huyo mwenzio aliyevaa kaunda ujinga
Endeleeni na ujinga wenu wa kuheshimu cotton… nyie ndio mkija mjini mnatapeliwa mna judge vitabu kwa kuangalia makasha ya njekwakweli, hizi nguo ni za kuvaa stageni ten show za saa tisa usiku, kama ndo hivi giggy mane nae aende ofisini kwa balozi na taulo, au? ifike sehemu ofisi ziheshimike,
Sasa mbona unalalama?Ya kistaarabu sana tena.
Laiti ungejua we MPUMBAVU kuna watu hawalali kwa ajili yako uje uharishe vitu vya namna hii usivyovielewa ungejikalia tu kimya… watu wanajua mengi tu ya giza yanayoendelea na kuhakikisha wanapambana nayo kila siku, kila saa na kuhakikisha wewe MPUMBAVU na wenzako muwe salama halafu unasema yeye ana mchango mkubwaAna mchango mkubwa kwenye Taifa kuliko huyo mwenzio aliyevaa kaunda ujinga
Heri wenye moyo safi, sio heri wavaa “formal” hao washenzi na suti zao usiku kazi kula malaya tu na kuiba hela za walala hoi. Hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu ya hayo masuti kila mtu avae nguo zake . Alafu huyo mmoja anavaa sio kwamba anapenda kuna miongozo ina mlazimisha avae hivyo huyu mwengine ni mpambanaji anakula kwa jasho na damu ana haki ya kuvaa hivyo ndio kazi yake hiyo.
Wakiambiwa waende VETA wananuna kama mbogo.Umesema mwenyewe ni msanii harafu unataka kumpangia msanii kitu cha kuvaa aisee ndio maana wanakazia mkimaliza chuo mwende Veta.
Nimeandika fikra zangu, kwa mtazamo na uelewa wangu. Sidhani kuna pahala ninashurtishwa kujieleza kwako ama kwa mwingine.Sasa mbona unalalama?
Umeshasema ni msanii.msanii lazima aonekane msaniiView attachment 3397154
View attachment 3397155
Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza
Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie na huu uchafu ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
Nikikaa najibizana na kijana ambaye hajakomaa sawasawa kiakili ni mimi ndo nitaonekana wa hovyo… issue ni kabila na ego za kipumbavu zinakusumbuaKuna viwango haujafika vya Kuwa na mwanga wa akili wewe na waswahili wenzako wabantu
Kwahiyo hapo ubalozini kuna mavazi rasmi ambayo MTU anabidi kuvaa ndo aende sio ?
sijaelewa hoja yako, hebu fafanuaEndeleeni na ujinga wenu wa kuheshimu cotton… nyie ndio mkija mjini mnatapeliwa mna judge vitabu kwa kuangalia makasha ya nje
Unazungumzia wawekezaji hawa usiku wanatembea na madini yetu kwenye ndege binafsi bila kulipa kodi? Au unazungumzia hawa wa makinikia? Toa utahira hapa Diamond pia ni balozi kwenye nyanja yake na ni mtu muhimu sana kuburudisha na kusahaulisha nyani kama wewe madhila mnayopitiaMwanadiplomasia/balozi anayeiwakilisha nchi/Rais ndiye msuka mipango ya kuleta wawekezaji wa mabilioni kutoka ughaibuni na kiungo mzuri wa uhusiano kimataifa ndiyo umfananishe na paka gani?Kua wewe!Still a kid!
MPUMBAVU huyo kijana… ndomana nasemaga majitu ya namna hii yakiingia kwenye “18” ni kuyavunja tuMwanadiplomasia/balozi anayeiwakilisha nchi/Rais ndiye msuka mipango ya kuleta wawekezaji wa mabilioni kutoka ughaibuni na kiungo mzuri wa uhusiano kimataifa ndiyo umfananishe na paka gani?Kua wewe!Still a kid!