GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #81
Basi Trump alikuwa sahihi kujenga ukuta. Hata mimi huenda ningefanya hivyo kama ningekuwa ndiye Trump.75% uchumi wa Mexico umetokana na biashara haramu (madawa ya kulevya) si kwenye inshu za technology, elimu, diplomacy, maendeleo ya uchumi halali sawa na Mataifa mengine ya kihistoria kama Greek, Uajemi, Italy n.k.
Magwiji wa biashara hiyo wengi wao wamekuwa wakisumbua sana duniani kukwepana na hukumu za mahakama na magereza ya kimataifa.View attachment 2740974View attachment 2740975
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwanini nisibeze? Yeye aendelee na kutengeneza katuni mambo ya technolojia awaachie wabobezi.Naamini asilimia ishirini ya Watanzania wangefanya alau "vitu vya kipuuzi" kama Masoud Kipanya nchi ingeongeza kasi ya kupiga hatua kimaendeleo.
Usimbeze Kipanya mkuu, alikofika inaweza ikawa ni hatua moja kuelekea kwenye ugunduzi mkubwa utakaoacha wengi vinywa wazi kwa mshangao mzuri.
Mkuu umeiona Haiti lakini hata kwenye YouTube basiWanaifikia Nigeria? Nigeria huenda ikawa inaongoza barani Afrika kwa kuwa na wachawi nguli.
Sasa ethiopia aijapigana vita kivipi nakati aijawai kutawaliwa na taifablolote ulimwenguni. Maana yake wamepigana sana ndomana awakutawaliwa na yoyote. Soma historia vizuri ndo utaelewa. Wamepigana sana na wavamizi katika ardhi yao ndomana wavamizi walishindwa kuwatawara.Hii hapa Ramani ya Historia ya Iran.
Achaemenid Empire
View attachment 2739139
Hii hapa historia ya Ethiopia
Kingdom of Aksum
View attachment 2739140
Kumbuka waanzilishi wa kuabudu Mungu mmoja ni Wa Persia.
Vile vile ukumbuke Kuwa hawa jamaa iran wamepigana vita vingi sana.
1. Wamepigana na Russia Empire miaka nenda rudi
2. Wamepigana na Alexander the Great king of Macedonia.
3. Wamepigana na Roman Empire
4. Wamepigana na Mongols Empire
5. Wapigana na Arab Empire (Rashidun Caliphate)
Ethiopia haina historia hiyo brother.
Tabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.Hiati kiboko aisee yaani huwaambii kitu kwa uchawi na shirk
Jifunze kwanza kuandika kiswahili sanifu.Sasa ethiopia aijapigana vita kivipi nakati aijawai kutawaliwa na taifablolote ulimwenguni. Maana yake wamepigana sana ndomana awakutawaliwa na yoyote. Soma historia vizuri ndo utaelewa. Wamepigana sana na wavamizi katika ardhi yao ndomana wavamizi walishindwa kuwatawara.
SawaJifunze kwanza kuandika kiswahili sanifu.
Mbona wazungu tayari wanayo technology hii kabla ya huyu muarabu.Iran wanawekeza sana kwenye science na wanavumbua vitu vingi sana
Wanasayansi wao wanasakwa usiku na mchana na wengine kuuwawa na maadui ila wamo tu
Na hivi karibuni kuna mwana sayansi kavumbua gari inayotembea kwa maji yes maji ya kunywa
View attachment 2739135
Laiti ningekutana naye, ningemnunulia alau soda. Anastahili pongezi, kabisa. Yeye kamudu "kuunda gari", wakati wengine hatujajaribu hata baiskeli tukashindwa.Kwanini nisibeze? Yeye aendelee na kutengeneza katuni mambo ya technolojia awaachie wabobezi.
Ndio tatizo la watanzania mliowengi kutiana moyo hata mambo ya kipuuzi. Unafanya kitu cha kijinga kabisa katika karne hii halafu watu tukutie moyo!!! ebo!!
Ukimwona mwambie aache ujinga na asiingilie fani za watu.
Kweli ila haya wangeongoza kuyafanya wanafunzi from scratch na sio kuunga Unga mpaka indicators za pikipikiKajitahidi sana. Anastahili pongezi. Tumtie moyo.
Kajitahidi sana. Anastahili pongezi. Tumtie moyo.
Tatizo sio sisi mkuu ni serikali ndio sio rafiki kwa kuwasaidia wanaotaka mafanikioLaiti ningekutana naye, ningemnunulia alau soda. Anastahili pongezi, kabisa. Yeye kamudu "kuunda gari", wakati wengine hatujajaribu hata baiskeli tukashindwa.
Wahenga washasema, "hata mbuyu ulianza kama mchicha".
Wanaofahamika kama wabobezi kwa sasa kuna walikoanzia, na pengine ungewakuta mwanzoni mwa "ugunduzi" wao, usingefikiria kama siku moja nao wangekuja kujulikana kama miongoni mwa wabobezi.
Tumtie Masoud moyo huku tukijitahidi kuwaibua na akina Masoud wengine wengi!
Sisi baada ya miaka 100 bado tutakuwa tunapokezana mwengeTabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.
India nimeona wanawaza mwaka 2047 watakapotimiza miaka 100 tangu wapate uhuru wawe kati ya top 3 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sisi sijui hata plan zetu ni kitu gani.
China nao 2049 wanaandaa massive show watakapotimiza miaka 100 tangu CCP walipochukua nchi. Sisi jiulize 2061 CCM wanawaza watatuambia nini sisi Wadangangika?
Haiti na Liberia zina miaka zaidi ya 200 tangu ziwe huru lakini wana nini cha kujivunia. Hata sisi tusipokuwa macho itapita miaka 200 na tutakuwa kama Haiti na Liberia
Kweli na sio kuwa ni ya kwanza bali amevumbua kwa wazo lake lilivyomtumaMbona wazungu tayari wanayo technology hii kabla ya huyu muarabu.
Mambo ya hydrogen cells haya ukigoogle utayajua.
Gari kwa maji linaenda
Mkuu hatuna tofauti nao kwa sababu wabunge wanateuliwa kwa hela zao lakini kama wananchi wangekataa hizo 20,000 ambapo hawawezi kukataa kwa unyonge wao basi tegemea kukimbiza mwenge miaka 200 mingineTabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.
India nimeona wanawaza mwaka 2047 watakapotimiza miaka 100 tangu wapate uhuru wawe kati ya top 3 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sisi sijui hata plan zetu ni kitu gani.
China nao 2049 wanaandaa massive show watakapotimiza miaka 100 tangu CCP walipochukua nchi. Sisi jiulize 2061 CCM wanawaza watatuambia nini sisi Wadangangika?
Haiti na Liberia zina miaka zaidi ya 200 tangu ziwe huru lakini wana nini cha kujivunia. Hata sisi tusipokuwa macho itapita miaka 200 na tutakuwa kama Haiti na Liberia
Wamarekani wajanja sana! Hivi na sisi hatuwezi kutumia hiyo mbinu kuwavutia watu wenye vipaji kuja kuishi nchini kwetu?Hata aliyetengeneza drones za kivita USA ni Mnaijeria, alipovumbua tu akapewa uraia wa USA jumla jumla.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sijasikia habari ya kijana mtengeneza mafuta. Naweza kupata wapi hiyo taarifa?Kweli ila haya wangeongoza kuyafanya wanafunzi from scratch na sio kuunga Unga mpaka indicators za pikipiki
Ila kajitahidi
Tatizo sio sisi mkuu ni serikali ndio sio rafiki kwa kuwasaidia wanaotaka mafanikio
Hebu yule kijana anatengeneza mafuta kwa kutumia taka alivunjwa nguvu siku ya kwanza tu
Na aliemwambia idea mbaya yeye hata kifungo hajui kimetengenezwa kwa kitu gani
Alikuwa trend hivi karibuni kwa kutengeneza petrol hata Ayo alimuweka kwenye blog yake ila nimeikosa sorry labda kuna wengine watasaidia hiliSijasikia habari ya kijana mtengeneza mafuta. Naweza kupata wapi hiyo taarifa?
Amazing! Ngoja nijaribu kupekua pekua mtandaoni kama nitaiona.Alikuwa trend hivi karibuni kwa kutengeneza petrol hata Ayo alimuweka kwenye blog yake ila nimeikosa sorry labda kuna wengine watasaidia hili
Yupo na huyo alieibadilisha bajaj na kuwa ya solar powered View attachment 2741258
Nasikia kuna laana fulani walipata hao waethiopia.Kama ndivyo, kwa nini na Ethiopia nayo isiifananie Iran japo kwa mbali? Inasemekana Waethiopia chimbuko lao ni Uyahudi!