Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

yaan nyiny waislam mna matatizo sana , yanayotokea msumbij kimya hamas waliposhambulia mlishangilia wanajibiwa sasa mnatia huruma mara vikwazo
Nani muislam wewe mpumbavu naona unawashwa washwa kuniquote hovyo hovyo kama mjinga hivi
 
Wewe unafikiri siku Russia akianza kubondwa na Ukraine, viongozi wa Ukraine watawekewa vikwazo?
kwan vikwazo wanawekewa wanaoshinda vita au wasababishaj wa vita ? ebu watu weusi tuwe na ufaham kidogo , tunachekelea ujinga wkt majanga ya ugaidi yapo ndan ya tz tyt
 
Bila uingereza na ufaransa kusingekua na taifa la Israel Leo,walilianzisha kwa makusudi maalum,akaja kuingia USA,hao wakiwatupa mkono,mwezi ni mrefu Sana Israel ku-exist,Hadi mitandao ya porn wanamiliki,ni watu wa biashara,lakini uyahudi na uzayuni ni vitu viwili tofauti, netanyahu ni mzayuni,wayahudi wenyewe huko marekani wanawapinga akina netanyahu
 
weww ni mnafiki Ukraine ilikaa kimya mpk 2022 urusi alipovamia ukraine , wala Ukraine hakuwa na mipango ya kupigana na Urusi kabla ya 2022 hoja za kukomboa crimea zimekuja baada ya kuvamia mwaka 2022 alipoona Urusi anaitala Ukraine nzima , ila Israel imekuwa inachokozwa kwa kushambuliwa tangu mwaka 1927 hata 1948 hata 1950s etc sijawai sikia Ukraine kaishambulia Urusi kabla ya 2022 , bara la afrika halipig hatua kisa UNAFIKI
 
Nchi za magharibi ndiyo zinacontrol Israel,ni project yao,hebu fanya Israel isingekuwepo pale, mashariki ya kati ingekuaje!?
kwan yemen , syria , iraq , sudan , somalia , libyia , mali , Afghanstan , Lebanon kote huko kuna Israel , Israel ndo anawafanya wawe wamoja hao watu wa mashariki ya kati
 
ilikuaje mpk wakaporwa hayo maeneo ? wewe ni mtu mpuuz na unafiki ndo unakuendesha , haujadili mambo kwa mzan sw , yaan unajuwa kbs waliishambulia israel wakapigwa kisha wakaporwa maeneo kama fidia ya vita , hapa unashabikia hamas kuua watoto na wanawake eti wanapigania maeneo yao
 
kwan yemen , syria , iraq , sudan , somalia , libyia , mali , Afghanstan , Lebanon kote huko kuna Israel , Israel ndo anawafanya wawe wamoja hao watu wa mashariki ya kati
Nadhani nilishakwambia siku moja kwamba juu ya mabega yako Kuna buyu lisilo na faida
 
kwann waarab wasiwe na hii nguvu ?
 
Solomon Friedman ni mmoja wa founders wa Ethical partners ambayo inamiliki pornhub ni Jew.wanamiliki more than 50% ya porn industry duniani.
sion uhusiano ax mgogoro wa sasa
 
mshaanza uongo ss kama vile hakuna taifa lililogawanya kuwa mataifa mawili , mwaka 1948 waarabu walikuwa machawa wa wazungu , walikuwa mambwiga tu
 
siku hz ukishambuliws ni kosa kujibu ? ni sw kudai late Nyerere kuwekewa vikwazo kwa kuivamia uganda , hv watu weusi mnaenda mbele au mnarudi nyuma ?
Sidhani kama umesoma na kuelewa nilichomaanisha.
 
Israel imekuwa inachokozwa kwa kushambuliwa
Hivi unaongea utumbo gani? Unajua maana ya Jewish Settlers? Yaani baada ya marital yote hayo kuisha na mikataba ya amani na palestina kuporwa ardhi yote kimabavu kuisha bado kila mwaka walowezi/jewish settlers wanajitwalia maeneo kwenye ardhi ya palestina na kufukuza wenyeji.

Sasa mpaka leo wameshafika Jews laki 5 wanaishi maeneo ya palestina kinyume na sheria. Sasa mfano huko westbank hakuna cha Hamas wala ugaidi ila hao settlers wameshapora zaidi ya 50% ya westbank.

Nadhani wengi hamuelewi chanzo cha mgogoro wa October 7 mnadhani Israel anachokozwa.
 
siku hz ukishambuliws ni kosa kujibu ? ni sw kudai late Nyerere kuwekewa vikwazo kwa kuivamia uganda , hv watu weusi mnaenda mbele au mnarudi nyuma ?
Kujibu kivipi? Walowezi wamekalia kilazima vijiji vya palestina kma Amin alivyokalia kagera kwa lazima. Sasa Hamas wakaenda shambulia hao walowezi, ni sawa na nyerere alivyoenda shambulia walowezi wa Uganda huko kagera.

So hapo Idd Amin ndio Israel not viceversa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…