zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Exactly palestina walishakubali kuporwa ardhi yao baada ya vita za 1948, 1967, 1973 n.k cha ajabu Israel imeendelea kujitanua kila mwaka na recently umeona wametimua watu Gaza ili waje kuipora pia. Same to Ukraine kwamba wamejibu mapigo kama Hamas ilivyojibu mapigo.hoja za kukomboa crimea zimekuja baada ya kuvamia mwaka 2022 alipoona Urusi anaitala Ukraine nzima
Westbank hakuna Hamas ila 50% ya ardhi yao imeporwa na Israel na watu wanakufa kila siku!Israel haijapigana na Palestine bali imewachapa hamas hapo gaza pekee na sio Palestine nzima
Westbank hakuna Hamas ila 50% ya ardhi yao imeporwa na Israel na watu wanakufa kila siku!
Muwe mnaona aibu nyie wavaa rozari huwa mnakomenti uharo sana
Kwani Ukraine iliivamia Urusi?Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
Jerusalem waliishi mababu zao wayahudi eneo la judea na samaria mkalibadisha jina eti west bank waliishi mababu wa wayahudi
British hawakukuta nchi ya Palestine walikuta ottoman empire na Israel hawakukuta Palestine walikuta British mandatoryWapi nimetaja taifa la palestina? Nimesema Israel imevamia westbank na Jerusalem wakati ni eneo la Palestina ila hawajawekewa vikwazo. Hiyo crimea na Ukraine zote zilikua sehemu ya urusi huko nyuma so ni kama tu Dodoma iivamie Zanzibar!!
Cha ajabu Russia kudai ardhi ya mababu zake huko Crimea imekua nongwa ila Palestina kudai ardhi yao wanaitwa magaidi.
NB: Hakukuwahi kuwa na taifa la Israel, same to hakukuwa na taifa la palestina ila ilikuwepo "nchi" inaitwa British Palestine ambalo lilikuwa koloni la Palestina lililo chini ya uingereza. Cha ajabu hiyo Palestine kwa sasa inaitwa Israel baada ya ardhi ya wapalestina kuporwa
Israel ni untouchable. Ukimgusa tu utasikia: namuambia daddy (usa), watu wanaufyata.Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
Hivi waislamu mnafundishwa ubishi?hujui chochote kaa kimya
Kina Suleiman, Joshua,mfalme Daudi, Jacobo, Ibrahim,yuda, Gideon,eliya, Samson,na wewe nitajie mababu wa wapalestina hata wawili waliishi hapo West Bank na Jerusalem?Mababu wa wayahudi ndio wapi hao ?
Nini ostaz mbona jazba hujapata kikombe cha GahawaNani muislam wewe mpumbavu naona unawashwa washwa kuniquote hovyo hovyo kama mjinga hivi
Ibrahim alizaliwa wapi ? Nchi gani kwa sasa ?Kina Suleiman, Joshua,mfalme Daudi, Jacobo, Ibrahim,yuda, Gideon,eliya, Samson,na wewe nitajie mababu wa wapalestina hata wawili waliishi hapo West Bank na Jerusalem?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu ?Nini ostaz mbona jazba hujapata kikombe cha Gahawa
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Alizaliwa Iraq akahamia Canaan akanunua shamba hapo canan hilo shamba ndio mji wa Jerusalem baadaye mfalme Daudi akapigana vita akaukomboa mji wa Jerusalem kutoka kwa Wayebusi ukaitwa mji wa Daudi sasa wapalestina Jerusalem unawahusu nini? Wakati uliitwa mji wa Daudi na daudi alikuwa mfalme wa wayahudiIbrahim alizaliwa wapi ? Nchi gani kwa sasa ?
So, Ibrahim alikuta watu kaanani ? Na kwao ni Iraq sio hapo Palestine ?Alizaliwa Iraq akahamia Canaan akanunua shamba hapo canan hilo shamba ndio mji wa Jerusalem baadaye mfalme Daudi akapigana vita akaukomboa mji wa Jerusalem kutoka kwa Wayebusi ukaitwa mji wa Daudi sasa wapalestina Jerusalem unawahusu nini? Wakati uliitwa mji wa Daudi na daudi alikuwa mfalme wa wayahudi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
nan muislam we mbw*