Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Sababu huku tuko na laana mbili.Kama kweli tunaakili kwanini sasa hatuvumbui vitu kama wazungu?
I never understand kwanini mnapenda muitwe wayahudi ilhali mnajua fika koo/kabila/tamaduni zenu. Mnatokwa Hadi povu kujifananisha nao, hamuupendi uAfrica wenu? Mnaona aibu kuwa waafrika? Mmekua brainwashed hadi mmekua mazwazwa kiasi mnajinasabisha na watu wasiowatumbua. Inabdilisha nini kwenye maisha yako wewe ukijiita myahudi au mchina au muarabu ilhali unajua fika identity yako?
I, for one, ni Mmatumbi sitaki kabisa uzwazwa wa kufananishwa na jamii zingine hata kama mnadai the original Jews were blacker than the kettle.
Fact ni kwamba Wayahudi ndio wanaotawala dunia kwa Sasa kwa kutumia fake identity.
Kwa hiyo...hii ndo imesababisha makampuni yote yale kumtema kanye...Kanye kasema wao black American ndio waebrania aka jews WA ukweli. Sasa Wazungu aka Jewish WA uongo wamekasirika kwamba why atoe siri wakati watu weusi wamelala usingizi pono. Kwanini anawaamsha.
Unaelewa maana ya conspiracy theory?Sio fact, ni conspiracy theories tu.
Sio kweli MkuuMadhila ambayo watu weusi wamekutana nayo ni makubwa mno kuliko jews. Mkuu kuna nyakati waafrika walikuwa wanachomwa kama mishkaki na wazungu na watu wanapewa nyama wale. Acha kusema jews wamepitia mengi kuliko watu weusi kwasababu taarifa zao nyingi ni za kupika. Watu weusi hawapendwi na jamii yoyote ile duniani kuna black massacre ilitokea huko marekani ikiwa na lengo la kutokomeza watu weusi wote marekani.
Wapi hapo wameandika kwamba ni mzungu
Kwahiyo umejiamulia?KWANI KILA KITU KIMEANDIKWA MZEE BABA!!??
Sasa kwani Farao aliwatesa Wazungu?? Soma vizuri historia.... Achana na hii ya mzungu inayoanza kusema mtu mweusi kaibuka after utumwa Huu WA juziSio kweli Mkuu
Watu weusi wametawaliwa na kupata shida wakati wa ukoloni yaani in 1880's
Waisrael wana safari ndefu sanaa ya kunyanyaswa na kuteswa sana tangu wakati wa utawala wa Mafarao, yaani miaka mingi kabla ya utawala wa kirumi
Huu ndio UKWELINguvu inayotumika kuwalinda na kuwatetea Wayahudi ndo hiyo hiyo inatumika kwa kundi la LGBTQ, fuatilia utaona. Napata wasiwasi huenda haya makundi yote ni chukizo kwa Muumba mbingu na ardhi
Hata mimi naona point yako inamashiko hebu Endelea kutupa data zaidi T14 Armata njoo huku ujibu hoja.Acha kuaminisha watu uongo bana, ukwel ni kwamba tangu mwanzo mtu mweusi ndiye aliyeteswa na kunyanyaswa kulko race yoyote hapa dunian, fuatilia historia kabla hata ya ujio wa propaganda za wayahud feki.
Hiv unajua utumwa pekee uliangamiza maisha ya waafrika kiasi gani? Hiyo idadi yao ni zaid ya Watu wa East afrika wote, nikimaanisha hakuna jamii yoyote dunian iliyoteswa kama mtu mweusi.
Jaribu kufikir mtu mweusi kuwa utumwan zaid ya miaka400 ya mateso, mauwaji, udhalilishaji, ubakaji, njaa na kazi ngumu, huku watoto wa watumwa wakifanywa kama wanyama wa maonyesho ma wanawake kama mnyama wa majaribio ya kisayansi na tafiti zao, bado wanaume walio hasiwa bila ganzi, na bado mamilion waliofanywa kama mateka wa kivita kupambana ktk vita za wazungu walizoita vita za dunia 1&2.
Hapo bado madhara ambayo mtu mweusi ameendelea kuyapata baada ya utumwa, ambayo ni unyonyaji wa rasilimali zake nchini mwake, kupangiwa jinsi ya kuishi na sheria ngumu za kimataifa(wazungu wa UN), kusainishwa mikataba ya kishenzi, kubaguliwa kila mahala dunia, kufanywa kama sehem ya majaribio ya tiba za kisayansi na aina za magonjwa, haya yote wanayafanya kwa mtu mweusi, je unawezaje kufananisha na hao wayahudi wako wa uongo ambao hata huyo hitra akuuwa watu mil6 zaid ya propaganda za kumchafua,
Kuna msemo unasema mti wenye nyoka ndio hupigwa mawe, na pia mti wenye matunda kwa wakati mwingine pia hupigwa mawe je wajua ni upi mti wenye nyoka na upi wenye matunda kati ya mtu mweusi na hao fake jews?
Jibu unalipata ni hao wayahudi wenu wa uongo ambao wamefanya maovu mengi dunian pia wao ndio walioratibu mipango ya vita za kizungu za 1&2 ili kuhalalisha mambo fulani kupitia uchonganishi wa mataifa,
je wajua madhara yake? Madhara yake ndio haya kuiba mali za mataifa ya watu weusi, kuiba historia ya mtu mweusi, pia kuiba ardhi ya wapalestina ambao ile ardhi ndio wamiliki, japo kiuhalali nayo ile ardhi ni miliki ya mtu mweusi maana aliishi hapo kabla ya ujio wa hao waarabu na wayahudi feki.
Hao wayahudi feki ndio wanaomiliki uchumi wa dunia karibia %kubwa kupitia makampuni yao na mabenki bila kusahau vituo vya habari na kusambaza propaganda wao ndio vinala.
Achen kulishwa uongo, huwezi kupata ukweli kwa kuegemea kwenye vyanzo vya habari walizotunga hao mabwana zenu mnaowaabudu.
Amkeni mtu mweusi ndiye aliekuwa myahudi wa kweli kabla ya ujio wa hao mashetani waliowapa dini na elimu ya uongo.
Fact ni kwamba Wayahudi ndio wanaotawala dunia kwa Sasa kwa kutumia fake identity.
Jamaa ni great thinker kweli, umenifurahisha kweli eti matokeo ya sensa yanauzinduzi😀😀Napendaga Sana kusoma mitazamo yako mkuu,unajua Sana kujenga hoja zilizoshiba.
Ubarikiwe Sana.