Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kwa nini hizi jamii za Asia zinaonekana kufanya vyema kwenye AI kwa sasa duniani ? Hasa jamii ya kichina iwe ndani ya nchi zao za kuzaliwa au hata nje ya nchi zao

Nini siri ya mafanikio yao au upande gani una mafanikio kwao katika maeneo haya ?
 
Mbona hata jamii za wazungu zinafanya vizuri pia kwenye AI??
Upo sahihi sijasema ni kumejaa watu wa Asia tu hapana nazungumzia uwingi wa watu wa Asia ni wengi katika maeneo hayo.

Fuatilia makampuni ya akili mnemba duniani utakuta wachina wakutosha na wahindi wazungu wapo lakini sio kwa kiwango cha watu wa Asia
 
Wachina na Wahindi wako jumla watu bilioni 2.9, labda ungezumzia kwa asilimia ya population.
 
Wapo treined hivyo
Wanajua lengo lao Kama binadamu kwenye nchi yao. Huku Afrika ni watu ambao kisaikolojia tu hatupo Sawa. Sio watu wa kujituma sana. Afrika ukivumbua kitu au kuwa na nia hiyo unaonekana wewe ni tatizo.
Elimu yetu ni yenye kukusisitiza kupata cheti na sio ujuzi.
 
Wachina na Wahindi wako jumla watu bilioni 2.9, labda ungezumzia kwa asilimia ya population.
Marekani jamii gani inaongoza kuwa na watu wengi ?
 
AI inahusiana na hesabu zaidi, Wachina, Wakorea, Wajapan na jamii kadhaa za Asia wanajua sana hesabu kutokana na mkazo wa familia kutaka watoto wao wasome sayansi zaidi, uwekezaji wa serikali na aina ya kazi wanazofanya.
 
Wapo treined hivyo
Wanajua lengo lao Kama binadamu kwenye nchi yao. Huku Afrika ni watu ambao kisaikolojia tu hatupo Sawa. Sio watu wa kujituma sana. Afrika ukivumbua kitu au kuwa na nia hiyo unaonekana wewe ni tatizo.
Elimu yetu ni yenye kukusisitiza kupata cheti na sio ujuzi.
Kwamba sisi tumekwa trained kuwa vyawa
 
Average IQ ya nchi za Asia hasa China, Korea na Japan Iko juu sana. Pia, hao jamaa wameaminishwa kufanya kazi ndiyo thamani ya utu wao.
So, akili+uchapakazi Lazima uwaweke juu sana.

Pia imani zao si za kungoja supernaturals zilete solutions..kama ilivyo kwa miarabu naiafrika. Wao wanasaka peace of mind na kuitumia kwenye mambo ya maana.
 
Back
Top Bottom