baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Again Tunaongelea AI na semiconductor vitu viwili tofauti.Uzi hauwezi kufungwa kwa mawazo yako duni na mepesi ya kushindwa kujua hakuna AI bila hardware. NVIDIA kuwa dominant wa semiconductor/chips za AI haimaanishi wengine hawazilishi hizo hardware. Samsung, STMicroelectronics, ASML,Renesas, ROHM na wengine wengi tu wanazalisha semiconductors, ishu ni ubora na ukubwa wa uzalishaji. Makampuni mengine yanazalisha semiconductor kuuza kama biashara yao kuu, mengine yanazalisha semiconductors kwa ajili ya matumizi kuweka kenye bidhaa zao kuu kama drones, simu, computer n.k na ikibidi wanaongezea kwa kununua kutoka nje. Ustadh hii mada inahitaji elimu dunia kiasi na exposure, tulia ujifunze.
Mfano wa Kampuni kubwa za AI duniani ni. Kama OPEN AI, Gemini, Deepseek etc. Hao ndio wanatengeneza Algorithim ambazo unatumia vitu kama Chat-Gpt na mambo mengineyo.
Wote hao kina Open AI, Google, META etc hizo Hardware wananunua, then ndio wanatengeneza AI zao.
Semiconductor ni kitu kingine kubadili mchanga kuwa Chip mbalimbali, hio ni hardware na wote uliowataja Kina Asml, Samsung, Tsmc etc wanatengeneza hizo hardware.
Faida unayo pata kwenye AI ukitumia leading edge node kama Tsmc na Euv machine za Asml ni ku save umeme, joto nafasi etc, ila AI ni AI inaweza Tengenezwa na parallel computing yoyote including kisimu cha Tochi, Calculator na almost kifaa chochote chenye processor. Hata Raspberry pi unaweza Tengeneza AI so usikariri na kuchanganya madesa.