Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

Jumla ya idadi ya watu wa India na China ni bilioni ni 2.8
 
Labda akili ya Mwafrika haijushughulishi sana kuwaza, kukariri na kuelewa mambo magumu kwa sababu mazingira yanayomzunguka ni mepesi ukilinganisha na jamii nyingine nyingi( "Necessity is the mother of invention") , Waarabu nafikiri tatizo lao kubwa lilikuja kuwa kwenye kuipa dini kipaumbele zaidi kuliko ilm dunia ndipo ikawa mwisho wa golden age of Islam, wahusika wakuu walikuwa ni Muhammad bin Abd al Wahhab na watu wa aina yake.
Yawezekana lkn kwa viongozi wa kiafrika,kutopenda kuumiza kichwa ni tatizo kubwa Africa,hawapendi ushindani ili walinde uovu wao.
 
Inawezekana ni hivyo kwa upande mmoja lakini sisi pia tupo kwenye mgogoro wa wivu sijui ama nini. Mtu anatengeneza kituo cha Radio labda au binduki flan hivi shotgun anakuja Kamatwa je hii nayo ni hao waliotutawala ndio wanakamata?
Maana yake ni kwamba wale mabwana wataharibiwa masoko yao kama nchi za kiafrika zitaanza kuzalisha silaha kwa kutumia teknolojia kutoka Afrika. Hapo ndipo hawahitaji kuona soko lao linachezewa kwahiyo kupitia vibaraka wao wanaondoa kbsa hii kitu
 
Tunakamatana sisi kwa sisi wao hawapo
 
Huko Ulaya na Marekani Warusi, WaUkraine na Wabelarus sio wazungu, ila kwa Waafrika kila mtu mweupe au Latinos ni mzungu tu.
Kwani jina wazungu lina asili ya Ulaya na Marekani au kwa jamii zinazoongea kiswahili?
 
Back
Top Bottom