Kwanini jamii za kiAsia zinaonekana kufanya vyema kwenye akili mnemba( AI) na Semiconductors

Wachina na Wahindi wako jumla watu bilioni 2.9, labda ungezumzia kwa asilimia ya population.
Uko sahihi mkuu. Asia na India kuna ''pool'' kubwa sana ya kutoa wafanyakazi hivyo hili linawapa advantage. Ila pia nchi kama India raia wake wana culture ya kutaka watoto wao wasome mahesabu na cumputer na vyuo vyao vimewekeza sana kwenye hili. Jngine ni competition. Kutoka na wingi wa watu, raslimali kama ardhi na vitu vingine ni kubwa sana hivyo kuwekeza kwenye elimu inatumika kukwamua familia nyingi na wanalenga kupata ajira nje kwa sababu kwao ni ngumu. Mwenye nafasi ajaribu kusoma vjana wanaofanya kazi kwenye sekta za IT China ndiyo atashangaa. Kna sehemu kijana akifikasha miaka 30 haajiriwi tena kwenye IT kwa sababu wanasema kasi na uwezo wake wa kufanya kazi umepungua.
 
Angalia semiconductor
Jensen Huang na ndugu yake Lisa Su wana kimbiza hapo states na duniani na wamejimilisha eneo muhimu kwenye semiconductor.
 
Tuzungumzie wachina na wahindi waliozaliwa hapo hapo states
 
Angalia semiconductor
Jensen Huang na ndugu yake Lisa Su wana kimbiza hapo states na duniani na wamejimilisha eneo muhimu kwenye semiconductor.
Miaka ya 1980 mpaka 2000's nchi nyingi za Asia kama China, Taiwan na Korea zilipeleka kwa wingi sana raia wake US na Ulaya wakasome masome ya teknolojia ikiwemo computer na IT, pia wamefanya udukuzi mkubwa sana wa teknolojia kupitia idara zao za kijasusi. Hii yote ni mikakati yao serikali zao pia waliyotumia kuwafikia wazungu kiteknolojia.
Aliyeanzisha TSMC ya Taiwan alisoma Havard, MIT na Stanford Universities.
Mwanzilishi wa SMIC pia amesoma na kufanya kazi Marekani
Xi Jinping
 
Kwa ufahamu wangu mdogo kinachowasaidia wahindi kwanza ni nidhamu, uaminifu na maadili pia wanazingatia na kuheshimu sana mila, desturi na tamaduni zao.

Wahindi wanathamini sana kurithishana na kuendeleza biashara ya familia au uwekezaji wa familia.

Kwa mfano babu alikuwa mfamasia anamiliki kiwanda cha dawa ni lazima watoto wasomee fani ya ufamasia halikadhalika na vizazi vinavyofuata. Vivyo hivyo kwenye taaluma ya teknolojia na uhandisi.

Hii hupelekea kuwe na muendelezo mzuri wa uwekezaji au biashara katika vizazi. Kama babu alianza biashara atapata changamoto na ups and downs anazipitia au makosa anayofanya anajifunza na kuwafundisha kizazi kinachofuata kutokurudia makosa.

Ndio maana wahindi biashara zao au uwekezaji wao unazidi kuwa bora kwa kila kizazi kipya kinachofuata.

Katika bara la Asia wahindi wamefanya uwekezaji kwa takribani zaidi ya vizazi vitatu( Third generation) kwa maana hiyo wapo vizuri zaidi katika biashara ukilinganisha na wachina. Yaani wahindi wanathamini sana integrity yao ndio maana hata bidhaa zao ni bora sana ukilinganisha na wa china. Wachina wanaofanya uwekezaji kwa sasa ni kizazi cha kwanza na ndio maana wanakosea sana ingawa wanazalisha bidhaa zao kwa wingi.
 
O.k
Mkuu samahani lakini umesoma lakini uzi una husiana na nini ?
 
Mheshimiwa Baba Levo na Mheshimiwa Mwijaku kazi ipo
Kwahiyo hapa utaona kuwa ni watu wa kudandiadandia mambo. Wasomi wenye Elimu kubwa kabisa wameacha majukumu yao ya kisomi wameamia kwenye Uchawa mara wanatangaza Nia.
Semiconductors na AI tutaiwezea wapi
 
Hawali ugali
Na nyie wamatumbi ambao hamli ugali kuna nini cha maana mlichoifanyia hii dunia mpaka sasa kwenye hiyo sekta ya teknolojia?

(Nauliza swali hili kwa sababu kuna wamatumbi ambao wamejinasibu kutokula ugali kwa sababu hii hii unayojaribu kutuaminisha hapa).
 
AI inahusiana na hesabu zaidi, Wachina, Wakorea, Wajapan na jamii kadhaa za Asia wanajua sana hesabu kutokana na mkazo wa familia kutaka watoto wao wasome sayansi zaidi, uwekezaji wa serikali na aina ya kazi wanazofanya.
Hili linaweza kuwa ndio jibu sahihi la huu uzi, maana hata kwenye mashindano ya International Olympiad In Informatics, wachina na wakorea ndio huwa wanaibuka washindi kisha ndio wanafuatia wamarekani.
 
Mbona hata jamii za wazungu, Warusi, WaIran, WaIsrael, Waturuki n.k zinafanya vizuri pia kwenye AI??
Jamii kubwa ambazo hazifanyia vizuri kwenye AI katika maeneo yao ni Waafrika na Waarabu.
Boss unawapenda kweli hao waarabu,

Nchi Nyingi ulizotaja hapo hazina Tech kubwa za AI compare na za Kiarabu, Nchi kama UAE na Saudi wapo mbali sana kwenye AI na kampuni zao zinafanya vizuri kwenye hii sekta.

Majiji yao na mifumo yao ya serikali siku nyingi tu wamesha ya transform.

Uliona Deal la Trump na hizo Nchi? UAE tu anajenga AI campus kubwa kushinda yoyote ile outside Usa inayotumia Tech ya Usa. H100 500,000 kila mwaka mpaka 2027, kwa jumla 1.5M H100, kuelewa How big hio project angalia umiliki wa H100 kwa kila Kampuni kubwa

images (77).jpeg

Estimation by 2023 Nvidia kauza A/H100 500K kwa kampuni zote kubwa Duniani, halafu UAE ananunua Same capacity kama makampuni yote kila mwaka kwa miaka 3.
 
View attachment 3391357

Estimation by 2023 Nvidia kauza A/H100 500K kwa kampuni zote kubwa Duniani, halafu UAE ananunua Same capacity kama makampuni yote kila mwaka kwa miaka 3.
Hujaelewa uzi na hii inaonyesha jinsi gani wewe unavyowahusudu Waarabu.
Uzi unahusu watu wa jamii fulani kufanya ugunduzi, uboreshaji na ujuzi wa juu katika utengenezaji wa vifaa na mifumo ya AI, sio kwenda kununua mifumo na vifaa na kupachika au kufanya outsourcing kutoka nje.
 
Wapo treined hivyo
Wanajua lengo lao Kama binadamu kwenye nchi yao. Huku Afrika ni watu ambao kisaikolojia tu hatupo Sawa. Sio watu wa kujituma sana. Afrika ukivumbua kitu au kuwa na nia hiyo unaonekana wewe ni tatizo.
Elimu yetu ni yenye kukusisitiza kupata cheti na sio ujuzi.
Unaonekana tatizo sio kwa matakwa yetu waafrika ionekane ni tatizo Bali kwa wale vibaraka wanaotumiwa na mataifa yaliyoendelea ndiyo huzuia mambo yasiendelee
 
Hujaelewa uzi na hii inaonyesha jinsi gani wewe unavyowahusudu Waarabu.
Uzi unahusu watu wa jamii fulani kufanya ugunduzi, uboreshaji na ujuzi wa juu katika utengenezaji wa vifaa na mifumo ya AI, sio kwenda kununua mifumo na vifaa na kupachika au kufanya outsourcing kutoka nje.
Wewe ndo hujui Tofauti ya AI na semiconductor.

1. Semiconductor kwa ujumla ni hardware
2. AI ni software

UAE na Saudi AI inafanywa na local companies hardware ndio inatoka Usa.

Dunia nzima mwenye hardware competitive ya AI ni Usa na China pekee.
 
Sisi hatupendi ndio. Ndio maana hata kwenye matatizo madogo tunapenda kusingiizia Mungu na Shetani na uchawi
Hapa nakuunga mkono.Kuna mzungu mmoja alisema wimbo wa taifa wa nchi nyingi za Africa ni mrefu sana sababu wanaimba kumuomba MUNGU awatatulie matatizo yao wakati ni wavivu hawafanyi kazi
Wimbo wetu wa Taifa unaanza na neno MUNGU IBARIKI AFRIKA
Wimbo wa taifa wa Africa kusini unaanza na neno NKOSE SIKELEI AFRICA Ambapo ni kizulu maana yake mungu ibariki Africa shida iko hapo.
 
Mbona hata jamii za wazungu, Warusi, WaIran, WaIsrael, Waturuki n.k zinafanya vizuri pia kwenye AI??
Jamii kubwa ambazo hazifanyia vizuri kwenye AI katika maeneo yao ni Waafrika na Waarabu.
Unadhani kwanini iko ivyo!!?
 
Boss wangu mmoja lakini wa kitengo tofauti na mimi yeye alikuwa mkuu wa IT Upande wa Finance alikuwa ni mhindi ameshawahi niambia kampuni la Microsoft la Marekani two third ya wafanyakazi wake ni Wahindi.
Dr Swati Mohan ni binti mdogo Mmarekani mwenye asili ya India ndio alikuwa mission guide wa kukiongoza chombo cha Perseverance Rover kikatua salama kwenye sayari ya Mars.
Picha chini akiwa mitamboni kukiongoza chombo.
Mi nadhani pamoja na juhudi zao kuna kitu kinaitwa Talent,Kipaji au Karama.Tusijilaumu sana waafrika hata sisi tuna karama ambazo wazungu hawana.
Nitoe mfano watu wa mkoa wa Kigoma wamejaliwa kwenye mambo ya Usanii mfano Kuimba kina Diamond wanaingia hapo.Wa Congo wamejaliwa mziki labda ndio maana Kigoma ikawa hivyo maana wamepakana.
Watu wa mkoa wa Morogoro,Tanga wamejaliwa karama ya soccer.
Wachaga wamejaliwa karama ya biashara na ukichunguza ukienda taasisi za fedha nyingi mfano ma bank utawakuta wamejazana huko.
Watu wa Mbulu wana karama ya athletic au kukimbia mfano kina Filbert Bayi,Nanai n.k
 
Attachments

  • Screenshot 2025-07-02 152047.png
    Screenshot 2025-07-02 152047.png
    416.1 KB · Views: 24
Back
Top Bottom