Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

Tena jamii za Kikristo ndio zimeanza kuleta mambo ya ajabu ni mwendo wa Harambee na mikosanyo ya pesa mopaka kwenye Jumuiya...., Binafsi bora kuchangia wasiojiweza na kuwapa pesa Ijumaa wajipatie mlo kuliko sijui kumchangia nani anunue gari eti ili awafikie watu kutoa huduma

Hapo nazungumza kama neutral ambaye anaangalia mambo kwa manufaa ya Jamii...

Anyway to each their own
 
Kutoa ni nini na unatoa nini? Je, kujenga kanisa au msikiti na kumtunza yatima kipi ni bora?

Uzuri wa majengo ya msikiti au kanisa na uthabiti wa moyo katika imani kipi ni bora?

Vipi, uhafifu wa majengo na utoaji wa imani inayoshutumiwa kunaifanya imani hiyo iporomoke au iimarike? Vipi imani ambayo ina majengo mengi, mazuri na watoaji imani yao ina imarika au kutetereka?

Unapotoa unamtolea nani, binadamu au Mungu?

Kama Mungu anailinda imani yake, vipi binadamu wasipoilinda, imani hiyo itakufa?

Tusizungumzie tu kutoa, tuzungumzie imani inayo mu experience Mungu na ipi imani inayosimuliwa kuhusu Mungu.

Aliimba kwa kuinjilisha mwimbaji mmoja, nikatoa mali zangu, nikawape masikini, kama sinao upendo, mimi si kitu kabisa!

Yesu aliwaambia wanafunzi wake wakatangaze neno, na mwenye kanzu mbili aitupe moja abaki na moja.

Yesu pia aliulizwa na yule kijana namna ya kupata ufalme wa Mungu. Alijibu kwa kumuuliza kijana kama anazifahamu amri. Kijana alipokiri kuzifahamu, akamuamuru auze kila kitu chake na agawe kwa masikini kisha amfuate!

Kuna kuishi duniani kama uko safarini ukijua uendapo, na kuna kuishi duniani kama hapa ndio kituo chako cha mwisho. Chaguo la namna gani uishi, litategemea maarifa ya neno tuliyojaaliwa kuwa nayo.
 
Screenshot_20240714-162917.png
According to you.
But world knows the richest people are Muslim from Arab nations and indo-chinese nations.
Even Africa richest are muslims,as well as Tanzania richest are muslims.
Ally Dangote is a Muslim,and is a richest person in the continent of Africa.
Or do you want evidence for that!?
Eti but world knows!😜
Wakati top 100 ukuti pua ya Islamic ata mmoja dunian.
 
Eti but world knows!😜
Wakati top 100 ukuti pua ya Islamic ata mmoja dunian.
Hao Forbes waliwatenga matajiri wa kiarabu kwasababu wakidai utajiri wao sio influencial.
Leo hii ukimwambia Mansour umekuaje tajiri ni tofauti na ukimuuliza Bill Gates amekuaje tajiri.
Kwasababu hiyo wamewatenga matajiri wa kiarabu.
Ila kuna matajiri wana Kuwait dinars bilioni zaidi ya mia mbili au mia tatu.
Hiyo USA yenyewe imekopa sana uarabuni hususan Qatar kama haujui.
Hakuna mzungu anayefika utajiri wa waarabu.
 
Kwatali yenye uchumi wa bilion500
Kwa USA yenye uchumi wa Trioni28.
😜😜😜 tajili adaiwi anakumbushwa tu!.
 
Kwatali yenye uchumi wa bilion500
Kwa USA yenye uchumi wa Trioni14.
😜😜😜 tajili adaiwi anakumbushwa tu!.
Kama haujui raia wa uarabuni wanaishi maisha mazuri kuliko wa USA,je unalifahamu hilo!?
Kuwait mtoto anapozaliwa huandikiwa asilimia kadhaa ya mapato ya nishati mafuta je hilo unalijua!?
USA ni nchi yenye deni kubwa kama GDP yake sema kuprint kwao dola kinyemela nyemela kunawasaidia.
USA inadaiwa mpaka na China,taifa linalodaiwa kupitiliza duniani kwasasa ni USA.
 
Sasa utamkopesha mtu ambaye mapato yake madogo kuliko mkopo?.
 
Kama haujui raia wa uarabuni wanaishi maisha mazuri kuliko wa USA,je unalifahamu hilo!?
Kuwait mtoto anapozaliwa huandikiwa asilimia kadhaa ya mapato ya nishati mafuta je hilo unalijua!?
USA ni nchi yenye deni kubwa kama GDP yake sema kuprint kwao dola kinyemela nyemela kunawasaidia.
USA inadaiwa mpaka na China,taifa linalodaiwa kupitiliza duniani kwasasa ni USA.
Screenshot_20240714-164923.png
Screenshot_20240714-164933.png
Screenshot_20240714-164941.png
Screenshot_20240714-164951.png

Akuna pua ya Islamic man itakayo gusa ata top100.
 
Nilishaeleza sababu hivyo sina sababu ya kurudia rudia.
Waambie hao Forbes watoe sharti la upatikanaji utajiri halafu uone waarabu wataingia mara ngapi!?
Real bilioni 200 na Dollar bilion 200 ipi kubwa!?
Nipe jibu.
Ata rwanda wana strong current lakin tukija kwenye economic Tanzania tupo imala ndo maana nakwambia dini zote mbili ni zawaraabu(Islam) na wazungu(Christianity) ambapo akuna pua ya Islamic itakuja kuonja ata ya top20 richest man da world ndani ya Christianity.
Nimechoka kuzungumza udini na mali za watu now naleft.
 
Huna hoja umeelezea suala la uchumi ukatoka katika mlengwa binafsi.
Nimekuuliza mwenye real bilion na mwenye dola bilioni nani tajiri,jibu ni mwenye real bilioni.
Oman kuna matajiri wenye real bilioni.
Ili upate rela moja lazima uwe na dola 3.
Rwanda ni ishu ya uchumi hilo ni irrelevant.
Uwe na jioni njema NIMEFUNGA MJADALA.
 
Lakini pia waislam ndo watoaji
Utaona siku za ijumaa na miezi ya ibada za kiislam
mafukara bila kujali imani zao wanajaa kwenye vizingiti vya misikiti na majumba ya mabwanyeye wa kiislam
 
Back
Top Bottom