Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Na huo ndio ukweli mchungu!! Na kinachoshangaza zaidi ni kwamba huyo ambaye hawataki kutambua juhudi zake kubwa katika huo mradi ni mwenzao wa kutoka Chama chetu pendwa!! Je kulikoni??
 
Wanahangaika tu majambazi wakubwa hao, yeye, baba yake yaani Makamba mkubwa, Nape nk. wewe Makamba junior tusikuone tena Bukoba kuja kugawa mitungi ya gesi
 
Nimeshangaa sana.

Hawa vijana wanatakiwa wajifunze siasa la sivyo inabidi watafute kazi za kufanya . Siasa hawaiwezi.
 
mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Kwahiiyo unahisi kama ndiyo atafufuka arudi tena ikulu?

Kisha kifa huyu jiwe. Kamwe hata ungeandika asubuhi mpk jioni juu ya huyu dikteta hatorudi. Zaidi sana unamfanya aungue vizuri huko jehanamu.
 
Kwahiiyo unahisi kama ndiyo atafufuka arudi tena ikulu?

Kisha kifa huyu jiwe. Kamwe hata ungeandika asubuhi mpk jioni juu ya huyu dikteta hatorudi. Zaidi sana unamfanya aungue vizuri huko jehanamu.
Kufanikiwa kwa mradi huu ni aibu kubwa sana kwa mawakala wa mabeberu ,Lisu, Mbowe, Nape , Makamba, Lema, Heche
 
We na elimu Yako ya kukalili umefanya Nini katika nchi hii kiazi wewe
Imenisaidia kuwa na reasoning ya maana ambayo imenifanya nije na hitimisho kwamba the late JPM hakuwa vizuri kama anavyoimbwa na baadhi ya watu wenye reasoning ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…