Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Una mihemko.mbona unateseka sana....shida iko wapi? unateseka kwa mtu ambaye wala hunifahamu? camoon. kana huna ngozi ya uvumilivu acha kuingia jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mihemko.mbona unateseka sana....shida iko wapi? unateseka kwa mtu ambaye wala hunifahamu? camoon. kana huna ngozi ya uvumilivu acha kuingia jf
Sijibizani na shoga. Subiri mashoga wenzako waje.Hivi siku hizi unauzia wapi hicho kinyeo chako? Unazeeka na ushoga wako
Wacha ukali wa sindano huo nyuma uzi unaingia kilaiiini, unaliwa sana choko mwandamizi weweSijibizani na shoga. Subiri mashoga wenzako waje.
Maharage, January na Mafuru lao moja...unajua wakati JPM anampasua Mafuru kutoka hazina baada ya kujidai anajua sana walichanganyikiwa sana...Maharage Chande yeye analeta story za mkoloni,hawa vijana wapuuzi sana kama wanaowalea
Una wivu mnoo kama jana mke yaaniTuondoleeni upuuzi wenu wa ibada ya mizimu huko
Mke wangu lazima nikuonee wivu siyo unagongwa gongwa na wahuni mi nikae kimya, jiheshimu wewe ni mke wa mtu ujue.Una wivu mnoo kama jana mke yaani
Hawajui. Kumbe ndio wanazidi kumpa umaarufuLeo wananchi wamewaonesha JPM ni nani mioyoni mwao, mwanasiasa unayetaka anguko lako kisiasa simama jukwaana umponde JPM mbele ya wananchi, huku mitandaoni wamejaza vijana na mimultiple accounts kila uchao kumdhihaki, 2025 sio mbali.
Mambo makubwa aliyofanya unayaona au huyaoni? Nisikulaumu huenda macho unayo lkn huoniImenisaidia kuwa na reasoning ya maana ambayo imenifanya nije na hitimisho kwamba the late JPM hakuwa vizuri kama anavyoimbwa na baadhi ya watu wenye reasoning ya chini.
Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (populism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.
Miongoni mwa waliohujumu juhudi za ujenzi wa hili bwawa ni wewe waziri wa sasa wa nishati, January Makamba, kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea mpaka kuondolewa baraza la mawaziri.
Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.
Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?
Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.
Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.
Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.
Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.
Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.
Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.
Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Misukule ya yule dhalim haitaki kusikia habari hii wao wanataka asifiwe mtu wao tu.Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (popolism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.
Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.
Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wankuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
Wewe ni mbwa kokoMakamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (popolism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.
Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.
Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wankuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
Umengea shudu kama wew ndo makamba mwenyeweMakamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (populism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.
Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.
Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wakuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
Wewe ni matako kabisaWewe ni mbwa koko
Kwani Zitto analilia mara kwa mara kwa mama yake kama mnavyolialia ninyi kwa Jiwe?Sasa yeye zito kaenda kuzikwa na mamake? Au alikuwa hampendi sana?
Yana maana kwamba wakubwa viuno vyao havina nguo tena, sharti wachutame kama wasemavyo wahengaHata mimi nimeshangaa sana ila yale makofi yaliyopigwa alipotajwa Magufuli ni ujumbe tosha kwao.
Wanakufa miili tu kweli na nimeamini, JPM kafa na hayuko tena ila JPM ataishi sana ndani ya watanzania na duniani, hadi nimeona wivu kwa JPM.“Watu wazuri hawafi” mzee Makamba
Unafiki ndio nguzo ya maisha ndani ya CCM. Jinsi kigogo alivyokuwa anamtukana Magu Twitter leo hii anakubalika na hao hao wananchi na wanaccm.Hii nchi imejaa unafiki wa hali ya juu sana
Wise wordsYana maana kwamba wakubwa viuno vyao havina nguo tena, sharti wachutame kama wasemavyo wahenga
Na kama hawatayachambua makofi yale na kuendeleza dharau zao eti wanaupiga mwingi na eti JPM ni kanda ya ziwa tu mara ni sukuma gang, basi utakuwa ni mpango mwema wa Mungu wa kusahaulisha ukubwa wa uumbaji wa hii dunia na nguvu ya uumbaji wake
Umenena vyema sanaUnafiki ndio nguzo ya maisha ndani ya CCM. Jinsi kigogo alivyokuwa anamtukana Magu Twitter leo hii anakubalika na hao hao wananchi na wanaccm.