Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Maharage Chande yeye analeta story za mkoloni,hawa vijana wapuuzi sana kama wanaowalea
Maharage, January na Mafuru lao moja...unajua wakati JPM anampasua Mafuru kutoka hazina baada ya kujidai anajua sana walichanganyikiwa sana...
Ndio maana wana hasira sana.....sema ngoja tusubiri ipo siku wakiendelea hivi tutaelezana kitu ili liwalo na liwe.....na asiingilie mtu...
 
Jina la Magufuli lilipotajwa yale makofi, nderemo na vifijo nadhani mama hakutegemea na naamini wale viongozi wengine (anti- Magufuli) walipata maumivu makali kwenye nafsi zao. Hata siku moja NURU haiwezi kuishindana na GIZA. Hata baadhi ya watu wa mitandaoni wanaolipwa pesa nyingi ili kumtukana Magufuli wamejisikia vibaya kuona bado yupo kwenye mioyo ya wananchi. Wezi na Mafisadi wamepata FUNZO kubwa
 
Leo wananchi wamewaonesha JPM ni nani mioyoni mwao, mwanasiasa unayetaka anguko lako kisiasa simama jukwaana umponde JPM mbele ya wananchi, huku mitandaoni wamejaza vijana na mimultiple accounts kila uchao kumdhihaki, 2025 sio mbali.
Hawajui. Kumbe ndio wanazidi kumpa umaarufu
 
Imenisaidia kuwa na reasoning ya maana ambayo imenifanya nije na hitimisho kwamba the late JPM hakuwa vizuri kama anavyoimbwa na baadhi ya watu wenye reasoning ya chini.
Mambo makubwa aliyofanya unayaona au huyaoni? Nisikulaumu huenda macho unayo lkn huoni
 
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?

Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.

Hayati Magufuli kwa nguvu kubwa na ujasiri usio na shaka akaamua kutekeleza wazo hilo.

Miongoni mwa waliohujumu juhudi za ujenzi wa hili bwawa ni wewe waziri wa sasa wa nishati, January Makamba, kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira, ikapelekea mpaka kuondolewa baraza la mawaziri.

Leo hotuba ya mkurugenzi mkuu Maharage Chande na waziri wake wamejificha kwenye kichaka cha mipasho hasa waziri Makamba.

Nijielekeze kwenye usanii wa waziri Makamba kutambua juhudi za watangulizi kwenye ujenzi wa bwawa hilo, katengeneza zawadi za kutambua michango ya mzee Mwinyi ,na Jakaya, wana mchango gani ikiwa mradi waliupa kisogo?

Makamba junior kawapa medali za kinafiki sana, hata wao wamejisikia aibu sana kupewa medali za ushiriki wao kwa mradi wakati hawajashiriki hata kidogo.,dhambi kubwa sana ikiambatana na unafiki wa hali ya juu.

Huyu kijana ndio anawaza kuwa rais wa hii nchi. Tuna hasara kubwa kama taifa.

Nimpongeze rais Samia kwa kujaribu kuusema ukweli kuhusu kazi kubwa ya hayati Magufuli katika kufanikisha mradi huu.

Kumekuwa na syndicate kupoteza Juhudi za hayati Magufuli kwa kuzimeza kijumla jumla na wasiostahili. Mojawapo ni hilo tukio la kinafiki la kutambua mchango wa hao watanguli kuhusu bwawa hili, wakati si washiriki.

Namalizia kwa kumwambia waziri Makamba na walio nyuma yake kwamba watanzania hawadanganyiki tena, Magufuli aliwafumbua macho.

Huu mchezo wa kujaza vijana mitandaoni kumdhihaki, mmeona leo jinsi likitajwa jina lake makofi na shangwe kama lote.

Nikiashiria kwamba kimwili hatuko naye ila kifikra tukonae, acheni majungu dhidi ya marehemu.
Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (populism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.

Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.

Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wankuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
 
Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (popolism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.

Misukule ya yule dhalim haitaki kusikia habari hii wao wanataka asifiwe mtu wao tu.
 
Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (popolism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.

Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.

Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wankuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
Wewe ni mbwa koko
 
Makamba ameongea kitaalamubzaidi (Professionalism) kuliko kisiasa za kutaka umashuhuri (populism). Maharage Alisha ongelea historia, na Makamba akijua Rais atakuja kuongea, kwa hiyo alijua mipaka yake.

Alipoteuliwa Makamba, ilikuwa ni strategic shift, kutoka populism tendencies kwenda more pragmatic and professional way of doing things.

Ndio maana umesikia mradi umeenda vizuri sana, na Ile LNG, ambao ni mradi mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki tangu Uhuru, unaelekea kufanikiwa. Nishati ni zaidi ya TANESCO. Mama alitaka mtu mtaalamu zaidi wakuongea na mashirika na washirika wa kimataifa kwa weledinl zaidi ndio maana Makamba akateuliwa!
Umengea shudu kama wew ndo makamba mwenyewe
 
Hata mimi nimeshangaa sana ila yale makofi yaliyopigwa alipotajwa Magufuli ni ujumbe tosha kwao.
Yana maana kwamba wakubwa viuno vyao havina nguo tena, sharti wachutame kama wasemavyo wahenga

Na kama hawatayachambua makofi yale na kuendeleza dharau zao eti wanaupiga mwingi na eti JPM ni kanda ya ziwa tu mara ni sukuma gang, basi utakuwa ni mpango mwema wa Mungu wa kusahaulisha ukubwa wa uumbaji wa hii dunia na nguvu ya uumbaji wake
 
Wise words
 
Back
Top Bottom