Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sababu kongamano lenu mmetangaza kabisa litakuwa na shari. Viongozi wenu wa Bavicha wanatangaza shari.
 
Kwahili uko sahihi
 
Polisi wengi wakiongozwa na baadhi ya RPC ni waerevu Sana
 
Polisi wengi wakiongozwa na baadhi ya RPC ni WAPUMBAVU Sana
Yaani hao polisi,wana familia zao,na wategemezi wengi tu,sasa washapewa amri kua wawazuie CHADEMA wasifanikishe jambo Lao,we unadhani watafanyaje?
Na hiyo amri imetolewa na wabaowateua,we ungefanyaje?
Muhimu hapo ni katiba.
 

CHADEMA naona wanapoteza muda wao, yawezekana hawana kazi za maana za kufanya.



"Gun-politics is the only available and suitable means of doing politics in Sahel region and the rest of Africa."

Jacques Farrac, a former Chief Spy of French
 
Viongoz wa police ni makada wa ccm askari wa chini wanashurutishwa TU
 
Huko juu ni wapi!!
Ni nani huyo aliyepo juu anayetoa maelekezo!!??
 
Huko juu ni wapi!!
Ni nani huyo aliyepo juu anayetoa maelekezo!!??
Yaani wateule wao,ndo wanaowapa kazi ya kukataza shughuli hizo.
Mkuu ukiambiwa MAAGIZO KUTOKA JUU,jua ni MABOSS.
 
Msiumie mioyo! Washindi ni chadema maana kwa ujinga wa polisi hawajui wamepiga promo kubwa sana kwa chadema.
Karibu kunakucha
Ujumbe umefika dunia itaona maana wamegusa panapo watasikia muziki munene.

Big mistake wamefanya
 
Polisi acheni kukandamiza Chadema
 
Andiko lako ni la kipumbavu
 
Anayemteua RPC ni nani?
Kama ni Rais,huyo Rais hana mamlaka ya kumtengua asipofuata maagizo?
Angalia tena unachokikataa.
Rais anamteua IGP, RPC anateuliwa na IGP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…