Bangi zilezile; hata siku moja moja huwezi kupumzika akili zikatulia kidogo?hata hiyo mihemko kwenye kuambiwa ukweli, ikiwa inakusaidia ongeza juhudi zaidi ufaidike...
Jeshi la polisi nchini mpaka sasa limeshadhibiti genge la wahalifu walikukusudia kuleta fujo, na bado linaendelea na doria maeneo mbalimbali ili kulinda amani na usalama wa watu, biashara na makazi yao....
naendelea kukusihi wew na wananchi wengine kujiepusha na magenge ya uhalifu popote nchini ili kuepuka usumbufu na athari mbalimbali zinaweza kuwaletea madhara 🐒
ni afadhali uendelee kuhamasisha uhalifu ukiwa nyuma ya keyboard,Umedanganywa kijinga sana!
Huyo jamaa ndiyo ile timu ya akina Masabuni, yule waziri wa polisi na yule mwenzake wa Tamisemi. Hawa jukumu lao ni kuhakikisha 'Chura Kiziwi' kwa vyovyote anaiba uchaguzi.Umedanganywa kijinga sana!
acha upotoshaji,Bangi zilezile; hata siku moja moja huwezi kupumzika akili zikatulia kidogo?
Juhudi pekee ninayotakiwa kuwa nayo sasa hivi ni kuondoa takataka hii inayo likabili taifa letu.acha upotoshaji,
uishiwe bando halafu usingizie kupumzika?
acha uvivu gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe 🐒
ndio ambao jeshi la polisi linapambana nao na kwa kiasi kikubwa limefanikia kuudhibiti uhalifu huo uliopangwa na majambazi wanaojiita gen z🐒"...uhalifu..." unajulikana ulipo.
Pamoja na kujitoa akili kama ilivyo kawaida yako; hatimae utajuwa maana ya "uhalifu" ni kitu gani. Vuta subira kidogo.
Unadhani 'bundle' unalo pewa uje hapa kuweka uchafu kila siku na hao wanaokutunza wewe ndivyo na wengine wanavyo ishi hivyo?acha upotoshaji,
uishiwe bando halafu usingizie kupumzika?
acha uvivu gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe 🐒
relax,Juhudi pekee ninayotakiwa kuwa nayo sasa hivi ni kuondoa takataka hii inayo likabili taifa letu.
Ninapokutana na takataka kama wewe ni wajibu wangu kushughulika, siwezi ku'relax' hata mara moja.relax,
jitahidi kua mtulivu, nchi iko salama, wahalifu na uhalifu wao tayari umedhibitiwa, kua na amani tu 🐒
Najuwa sasa hivi mnayo matumbo moto sana, sijui itakuwaje hadi kufikia mwakani?jitahidi kua mtulivu, nchi iko salama, wahalifu na uhalifu wao tayari umedhibitiwa, kua na amani tu
nashukuru ile tozo, kodi na ushuru ambao tunatozwa mimi na wewe inafanya network iwe stable sana achilia mbali kuimarika kwa sekta za usafirishaji, biashara, kilimo, afya, technologia, ulinzi na usalama vina tuwezesha kuendelea kusomana mtandaoni,Unadhani 'bundle' unalo pewa uje hapa kuweka uchafu kila siku na hao wanaokutunza wewe ndivyo na wengine wanavyo ishi hivyo?
yaani unafikiria ya mwakani wakati wenzio tumeshajipanga hadi 2035🤣Najuwa sasa hivi mnayo matumbo moto sana, sijui itakuwaje hadi kufikia mwakani?
Wahalifu wakuu kwa sasa ni huyo Masabuni, na huyo wa Tamisemi, ambao ndio wanaokujaza tumbo. Hawa ndio watakao shughulikiwa nchi itakapo kombolewa.epuka uhalifu.
sasa durstbin si walau upunguze mihemko basi 🤣Ninapokutana na takataka kama wewe ni wajibu wangu kushughulika, siwezi ku'relax' hata mara moja.
Bangi ndivyo zinavyo kupeleka hivyo? Siku zenu zinahesabika sasa.yaani unafikiria ya mwakani wakati wenzio tumeshajipanga hadi 2035🤣
mbona bado uko nyuma mno gentleman? ni wew pekeyako tu au na chama chako kwa ujumla mnamawazo finyu hivyo, eti mwakani 🤣
Hiyo ilisha isha
unafeli sasa,Wahalifu wakuu kwa sasa ni huyo Masabuni, na huyo wa Tamisemi, ambao ndio wanaokujaza tumbo. Hawa ndio watakao shughulikiwa nchi itakapo kombolewa.
Nikiwa na wewe takataka, kazi yangu ni kuzoa tu hizo taka. Hivi mpaka nikukumbushe kila siku?sasa durstbin si walau upunguze mihemko basi 🤣
Ingekuwa sheria ina nguvu kuliko Mwenyekiti wa chama maisha yangekuwa mazuri zaidi.Jeshi la polisi liko kwa mujibu wa sheria na sio kufuata matakwa ya wanasiasa.
Wanajua na wana jijua wanatumika, is why heshima yao kwenye jamii inazidi kuporomoka day and night sababu hii
Katiba katiba katiba