Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

Mkurugenzi wa Mawasiliano huko JWTZ, Luteni Kanali Sylvester Mangure wakati alipokuwa anatoa taarifa yake kuhusu maandamano akajikuta anaanza na salamu ya Kazi na Utu.

Hiyo inafahamika ni salamu ya CCM sasa inakujae taasisi nyeti kama JW kuitumia salamu hiyo huku wakiwa hawafungamani na chama chochote kile?

Tunaelekea wapi?
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano huko JWTZ, Luteni Kanali Sylvester Mangure wakati alipokuwa anatoa taarifa yake kuhusu maandamano ni salamu yake ya Kazi na Utu.

Hiyo ni salamu ya Kiserikali na Umma, sio chama.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano huko JWTZ, Luteni Kanali Sylvester Mangure wakati alipokuwa anatoa taarifa yake kuhusu maandamano ni salamu yake ya Kazi na Utu.

Hiyo inafahamika ni salamu ya CCM sasa inakujae taasisi nyeti kama JW kuitumia salamu hiyo huku wakiwa hawafungamani na chama chochote kile?

Tunaelekea wapi?
Alafu ukimsikiliza mbona kama kashikiwa bastola hivi au mimi ndio sina adabu?🤣
 
Chama tawala kimetawala kila kitu kilichopo nchini kias kwamb mpaka na jeshi lina salute kwa ccm. Huu mfumo mbovu, niwavunje moyo wana chadema na wananchi kwa ujumla lissu hana mtetezi tena.
 
Back
Top Bottom