Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

Nchi inahitaji kusafishwa yote kabisa na kuvunja taasisi moja baada ya nyingine ili kuziunda na kuzisuka upya.

Kwanza unapoona mwanajeshi wa level ya huyu anaongea kwa uoga na kutetemeka ujue hauna jeshi hapo.

Hata hiyo salamu ya liccm ameitumia kama kinga ili endapo atakosea kwenye tamko lake kwa maana ya kuwaudhi Ccm waweze kumsamehe na kutomchukulia hatua za kinidhamu.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwasasa ni matawi ya chama cha mapinduzi, uwe unapenda au haupendi hayakutumikii tena wewe mlala hoi wa mandankerenge huko.
 
Back
Top Bottom