Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Amka! Ndoto yako inakupoteza.Uchaguzi ulifanyika, na mimi nilipiga kura 29 Oktoba.

Hayapingwi popoteMaelekezo kutokea juu
Nilishaamka kitambo mkuu. 29 Oktoba nilipiga KURA sawa na takwa la Kikatiba.Amka! Ndoto yako inakupoteza.
Atatuambia ni mikogo/swaggers za kijeshi.Kwa nini anaongea anatetemeka?
Alianzisha Mwenyekiti wa CCM na ndo ilitumika kwenye kampeni. Kwanini unatetea ujinga?Kazi na utu ni salamu aliyoianzisha rais wa nchi akiwa kwenye tukio la kiserikali
Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikwishakemea Tanga kuhusu JWTZ kujihusisha na siasa. au sivyoIli mambo yasiwe mengi ni bora kibaki chama kimoja tu cha ccm, hivi vya upinzani vifutwe vyote ijulikane ni nchi ya chama kimoja.
Ya nini kuzuga wazungu wafadhili na wahisani kwamba nchi ni ya vyama vingi wakati wananchi hawaoni siasa ya vyama vingi ikifanya kazi yake kidemokrasia?
Jeshi la wananchi halipaswi kujionesha ni la chama fulani, lenyewe linatakiwa kuwa neutral kwenye mambo ya vyama vya siasa.
Kama linafanya mapinduzi kumuondoa mtawala wa kiraia muovu hapo sawa, litakuwa linalinda maslahi ya taifa na kisha kuacha utawala wa kiraia uchukue hatamu tena, yaani kazi yake ni kulinda nchi
Jeshi la WanaCCM TanzaniaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu?
Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana.
View attachment 3622352
View attachment 3622356
Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani? Katiba ya Tanzania inatambua Maandamano, Ila Walinda Katiba wanadai ni Vurugu na Fujo.
Watu wanataka maandamano 7/7/2026, eti wanatoka na kusema maandamano ni Vurugu. Wapi katiba imesema maandamano ni Vurugu?
Nne na Mbaya zaidi eti Jeshi linawaomba Wananchi kutoa taarifa kwa viongozi wa Vijiji/Mitaa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu uchochezi au viashiria vya uvunjifu wa amani. Nimeshangaa sana.
View attachment 3622357
Kwanini kazi ya Polisi inataka kufanywa na Jeshi la Wananchi?
TUJIKUMBUSHE MAJUKUMU YA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA.
- Kulinda Katiba na uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Kulinda mipaka ya nchi dhidi ya uvamizi au vitisho kutoka nje.
- Kufanya mafunzo na mazoezi ya kijeshi ili kuwa tayari wakati wote kukabiliana na tishio lolote.
- Kuelimisha umma kuhusu ulinzi wa taifa, ikiwemo kukuza uzalendo na uelewa wa masuala ya ulinzi.
- Kushirikiana na mamlaka za kiraia katika uokoaji na utoaji wa misaada wakati wa maafa kama mafuriko, moto, matetemeko ya ardhi na dharura nyingine.
- Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa.
- Kushiriki katika operesheni za kulinda amani kimataifa, chini ya United Nations au mashirika ya kikanda pale Tanzania inapochangia vikosi vya ulinzi wa amani.
Hilo ni taasisi ya ccm mamaaaeeeeJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu?

FuxckkUchaguzi ulifanyika, na mimi nilipiga kura 29 Oktoba.