Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

Aliyeandaa script amejichanganya sana....
Alafu jamaa anatetemeka utadhani ameshikiliwa mtutu......

Aliyehusika kuiedit na kuruhusu iende hewani nae taaluma yake ina mashaka
 
Mtoa mada unajua lita moja ya mafuta ni sh ngapi?. Kilo moja ya nyama unajua ni sh ngapi?. Samaki je?. Sasa jiulize ni nani hapendi kula vizuri?. Ukishayajibu yote hayo ndio utajua sababu ya yeye kusema hayo yote.
 
Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikwishakemea Tanga kuhusu JWTZ kujihusisha na siasa. au sivyo
 
Jeshi la WanaCCM Tanzania
 
Huijui katiba ya nchi usingeandika huu ujinga hapa.
 
KAZI NA UTU ni kaulimbiu nzuri kwa taifa bila kujali chama cha siasa.
Kinachotakiwa ni vitendo vinavyoshabihiana na slogan yenyewe.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo ni taasisi ya ccm mamaaaeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…