We jamaa bhana......aliekuambia utajiri lazima uwe na uhusiano na Shetani ni nani ?...hata wafuasi wa Kristo wameahidiwa baraka na Utajiri.Shetani alimjaribu Yesu kupitia utajiri. Kuna uhusiano mkubwa kati ya utajiri na shetani upande mmoja; na ufukara, msalaba na Kristu upande mwingine.
Katoliki wanasaidia kuondoa watu katika ujinga na upotofu. Mafanikio ya kweli hayapatikani kwa kuombewa na mitume na manabii wa uongo, bali ni kufanya kazi kwa kujituma na bidii mafanikio yatapatikana. Uliza nchi tajiri ulimwenguni oa utajiri wao unatokana na maombi ya akina MwandosyaUkisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya "lazima" na "uhusiano mkubwa".We jamaa bhana......aliekuambia utajiri lazima uwe na uhusiano na Shetani ni nani ?...hata wafuasi wa Kristo wameahidiwa baraka na Utajiri.
2 Wakorintho 8:9
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
Hawajiulizi ni kwa nini hao wanaojiita mitume na manabii wanahangaika (wanafanya kazi) kuandaa mahubiri badala yake kumbe nao pia wangefanya maombi kujiombea? Kwani wao hawautaki utajiri au wamekatazwa kuwa matajiri ?Katoliki wanasaidia kuondoa watu katika ujinga na upotofu. Mafanikio ya kweli hayapatikani kwa kuombewa na mitume na manabii wa uongo, bali ni kufanya kazi kwa kujituma na bidii mafanikio yatapatikana. Uliza nchi tajiri ulimwenguni oa utajiri wao unatokana na maombi ya akina Mwandosya
KivipiShida ni kwamba kanisa katiliki linasisitiza umaskini kama ambavyo jpm alisisitiza watu kuwa wanyonge.
Hakumaanisha umasikini wa maliNi falsafa walizotoa kwa philosophers wakigiliki ambao kuna kipindi walikuwa na influence kubwa kwa mapapa kuliko Biblia.
Yesu alifanyika masikini ili sisi tulio masikini tupate kuwa matajiri. Huu mstari hawawezi kuusisitiza.
Kwani jumuiya zenu hazina mapato na matumiziUkichunguza kwa makini viongozi wa kikatoliki ni wanyonyaji wakubwa, angalia wanavyotumia jumuiya ndogo katika kukamua watu bila huruma.
Alimaanisha umasikini wa nini aliokuwa nao yeye.Hakumaanisha umasikini wa mali
Mfano wa wazi ni yule mzee wa UpakoKanisa katoliki ni taasisi ya umilele kanisa lipo hadi mwisho wa dunia.
Mwamposa sio taasisi hata miaka 10 ijayo hawezi kuwepo
Hao ni wafanyabiasharaimaniMfano wa wazi ni yule mzee wa Upako
Kutokusongwa na shida za dunianiAlimaanisha umasikini wa nini aliokuwa nao yeye.
Na wewe nenda ukaombewe uwe tajiriUkisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye.
Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na watu wanazidi kumiminika sana kwake which means wanaponywa na wanafaidika.
Ushauri wangu kwa maaskofu au mapadre, hubirini injili ya kweli na watu watawafuata msitumie nguvu mtaaibika
Kutokusongwa na shida za dunia ndio umasikini, una reference?Kutokusongwa na shida za duniani
Kuna uhusiano mkubwa Sana kati ya Utajiri na kumfuata Kristo.Kuna utofauti mkubwa sana kati ya "lazima" na "uhusiano mkubwa".
Marko 10:25
"Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.