Hii kampeni si kampeni dhidi ya ushoga.Na hapa ndio utaona unafiki wa wabongo. Huwa nashangaa bongo fleva 90% zinahamasisha kumla mwanamke jicho.
Sasa hawaoni mtu akizoea huo mchezo kwa wanawake iko siku atajaribu kwa wanaume wenzake!!
Kama issue ni linda mgongo iwe kwa jinsia zote.
Suala si kuanzisha kampeni, suala ni logical consiatency.Anzisha kampeni ya kupinga ufiraji wa wanawake, hakuna mwenye hati miliki ya kuanzisha hizo kampeni.
Nimekuelewa kwa muktadha wako. Ila specially kwenye hii para huoni kampeni haiwezi fanikiwa sababu ime focus kwenye supply side imesahau demand side?Kwa hivyo, katika mfumo huu ambao hauchukii mtu kufirwa ila unavhukia mwanamme kufirwa, mwanamke kufirwa inaonekana sawa tu.
Unamuona huyu?Ndugu siwez zaa mtoto wa kiume narudia kiume halafu aingiliwe kama mwanamke
Inaumiza Zaid ya uchungu wa leba
Mwaka jana nilisoma kitabu cha mwandishi aliyetoa kitabu cha Magufuli, nafikiri anaitwa Kabendera. Ameongelea tatizo la ushoga kwenye siasa za CCM. Akasema viongozi wakubwa serikalini wananunua vijana wadogo ili kuwatumia kung'arisha nyota zao za kisiasa. Juzi niliona mtu X anasema hivi sasa kuna mashoga wengi kwenye baraza mawaziri kuliko kipindi kingine cha historia ya Tanzania. Watanzania ambao ni wajinga wakisikia kuwa ukimlawiti kijana mdogo unatajirika na wao wanafanya hivyo. Mlawiti ni kibaka kama wezi. Hii kampeni tuiunge mkono.Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe? Kwani mabinti wamekuwa salama ghafla au wamesahaulika kwenye hili jinamizi linaloendelea nchini?
Kwa mtazamo wangu kama migongo ya watoto wa kike tunaona sawa sioni shida wa kiume pia kutumika yao
You better watch your back
Kampeni haiwezi kufanikiwa kwa sababu wabongo hawajui wanataka nini.Nimekuelewa kwa muktadha wako. Ila specially kwenye hii para huoni kampeni haiwezi fanikiwa sababu ime focus kwenye supply side imesahau demand side?
Yaani unawaambia watu wasitumie bangi ila wanaouza bangi huwagusi?
Mabasha ndo watu wachafu hata kuliko shoga!Kibongobongo mabinti hiyo ni kazi yao.
Tatizo ni wanaume tu.
Hata mabasha hawasemwi, wanaosemwa ni wale waliokataa uanaume tu.
Hata ma lwsbian hawasemwi, kwa sababu wanaonekana wanavheza tu.
Tatizo linaonekana ni watu waliokataa uanaume na kuchujua kazi ya wanawake.
Sasa kama ni hivyo, kwa nini hawasemwi?Mabasha ndo watu wachafu hata kuliko shoga!
Kwa wqbongo wengi, nilichogundua, kutunia data za kutunga wanaona sawa tu.una hoja lakini kwa nini unatumia data za uongo?
Ni kweli 90% wana support huo usodoma?
HaswaaKibongobongo mabinti hiyo ni kazi yao.
Tatizo ni wanaume tu.
Hata mabasha hawasemwi, wanaosemwa ni wale waliokataa uanaume tu.
Hata ma lesbian hawasemwi, kwa sababu wanaonekana wanacheza tu.
Tatizo linaonekana ni watu waliokataa uanaume na kuchukua kazi ya wanawake.
Unataka kusema nini? Kwani ni uongo?Una mtoto wa kike?
Huu ni UNAFIKI.Asili ya mwanamke ni kufanywa, mwanaume asili yake ni kufanya.
Hii ina maana kwamba mfumo wake tu wa homoni wote una generate hisia za kufanywa.
Na pili kufanywa, ni dhana ambayo inaweza kutazamwa kama weakness ya kimfumo kibailojia.
Mwanamke kushiriki sex kinyume na maumbile ni swala ambalo linatambulika kama taboo na hii inatiwa nguvu na mafunzo ya dini.
Jamii ime adapt huo mfumo na kuanza kui picture anal sex kwa mwanamke kama dhambi na chukizo kwa Mungu lakini pia hata kimaadili.
Na ndio maana ikibainika kwamba mwanamke amefanya hilo tendo, jamii itaonesha masikitiko lakini haiwezi ku react the same way kama ingemtokea kwa mwanaume.
Mwingine huyu hapa anahalalisha huku anajistukia.Kati ya hao wawili ambaye mgongo wake ukidukuliwa ipi ni aibu kuu na fedheha??
Linda mgongo wako kwa wivu mkubwa
NB: haimaanishi wanawake wasilinde migongo yao la hasha ila katika hao wawili mwanaume ndiyo inabidi awe makini zaidi na mgongo wake maana yeye ni pump na kazi ya pump ni kupampu na siyo kupampiwa
Hawawezi kukuelewa hapa.Wakati zima-moto inapiga kelele ya kuudhi, watu wenye akili hukimbilia kuokoa nyumba inayoungua badala ya kulaumu sauti ya king'ora