Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Muhimu ni kampeni ya Linda mgongo wako.
Wanawake wanayo wizara nzima ya kuwatetea.
Hapa hakuna mtakacho tueleza
 
Exactly.

Na haya mambo hayapo Tanzania tu, ila labda sisi tunakosa dissenting voices tunaishi kwa kufuata mkumbo sana. Kuna style fulani za watawala walioshindwa ku deliver mambo muhimu kwa wananchi ku distract watu kutoka mambo muhimu ya kiuchumi, kifalsafa, kisiasa, kwa kuwapa some stupid culture wars.

Kuna mtu Marekani aliandika kitabu kinaitwa "What's The Matter With Kansas". Watu wa jimbo la Kansas walikuwa wanapiga kura kinyume na interests zao za kiuchumi na kisiasa kwa kuaminishwa kuwa wao ni Conservatives tu.

Hiki kinachoendelea Tanzania ni sawa na hiyo habari ya "Whats The Matter With Kansas".

Watu hawana kazi, hawana elimu, wanauawa na kutekwa kama ng'ombe, wanaibiwa chaguzi, halafu kama haitoshi huyo Makamu wa Rais wa uchaguzi wa kuibiwa naye anatolewa kwa Tweet ya TISS (unauziwa maziwa feki, halafu hayo maziwa feki nayo unanyang'anywa) halafu haonekani hata kuwaelezea kwamba kajiuzulu kweli, hatujui hata kama yupo hai, CCM wanakula upinzani mpaka balozi wao mstaafu Polepole wanamtazamisha mashariki na kumchinjia baharini. Lissu naye wanajitayarisha kumchinja.

Ukianzisha biashara TRA inakukamua kodi mpaka mavi kama unaenda kuzikwa.

Ukirithi kiwanja tu ni mgogoro mkubwa sana.

Ukimaliza chuo na kukaa miaka mitano bila kazi wala si jambo la ajabu, watu washazoea hawajui kuwa hili si jambo la kawaida.

Jana niliangalia mtu Marekani analalamika kuwa wahitimu wa vyuo asilimia 66 tu ndio wamepata kazi miezi 9 baada ya kuhitimu, alikuwa analalamika ajira ngumu.

Yani tumezoea umasikini na ujinga mpaka hata hatuujui kuwa huu ni umasikini na ujinga. Tumekuwa kama yule samaki ambaye maisha yake yote anaishi kwenye maji, kayazoea sana maji, mpaka hajui kuwa anaishi katika maji!

Nikacheka sana. Nikijisemea mwenyewe huko Tanzania watu wameacha hata kuhesabu. Ukiwapa asilimia 66 ya wahitimu kazi ndani ya miezi 9 ya kuhitimu kwao watasema umeupiga mwingi sana tu.

Watu wameshindwa kabisa kuishi kwa kutumia human potential yao, unaona watu wana akili basi mifumo tu ndiyo inawaangusha.

Nchi ina maliasili nyingi sana, ila watu wana umasikini wa kutupwa, abject poverty.

Inequality kubwa sana. Tofauti kati ya masikini na tajiri nchi hiyo hiyo moja ni kama watu wanaishi Ulaya ya matajiri na Afrika ya mashenzini.

But somehow, ushoga, habari ya mtu kujiamulia ana sexual orientation gani yeye mwenyewe, a right yo self determination, a human right, ndiyo habari inayosumbua watu.

I'm like, are you for real?

Where are your priorities?
 
Asante umenipa jambo jipya nitafuta hicho kitabu "Whats The Matter With Kansas" kwa muktadha huu bila shaka analogy yake sawa na jambo ambalo uliongea karibu miaka 10 iliyopita "Bread and Circuses"

Kwa Wenzetu huko hali sio mbaya sana kulinganisha na huku huku rahisi kwa serikali kuanzisha Cultura wars sababu Jambo la maadili na tamaduni serikali imefanikiwa kufanya tufeel kama ndio Utambulisho wetu so tupo tayari kupoteza kila kitu,kuteswa,kutekwa ila sio kuingiliwa "Tamaduni zetu"

Mara ngapi unasikia Rais anasema kuandamana na Vurugu sio utamaduni wetu or kinyume na maadili ya Mtanzania?tho hakuna manual inaoyoonesha mambo gani ya kwetu yapi sio ya kwetu unafiki wa kujificha kwenye kichaka cha 'Tamaduni'

Katika Rasimu ya Warioba iliyokataliwa ilitaja Tunu Za Taifa ambazo ni Utu,
Uzalendo,Uadilifu,Umoja,Uwazi na Uwajibikaji,hayo ndio mambo muhimu ya kuzingatiwa..

Jana Nandy kapigwa faini na Basata kwa kuvaa Nusu uchi katika shindano la Miss universe,shindano ambalo washiriki wamevaa nguo za ndani,nusu na robo uchi zaidi ya Nandy,sio kwamba wapo serious na hayo maadili ila kutupa tu jambo jipya la kujadili..

Mkuu unauliza Priorities katika jamii ambayo ina umasikini wa kutupwa?tupo katika survival instinct,jamii ikitoka katika umasikini huu tutaanza kujadili vipaumbele,afya maybe,elimu,miundo mbinu,sheria za kodi,kwa sasa wacha tufikirie kesho yetu(literally) na kujadili mambo ya kutuletea faraja siku ziende
 
suala hilo nalielewa mkuu, na ndo maana sijasema african traditional values" kwa sababau zipo tofauti .

mwisho wa siku ni juu ya jamii yenyewe kuamua mkuu
 
Swadaktaaaaa!!!
 
Sawa, tunawaambia wasifirane, wasifire wanawake maana sio sawa, hata wanyama wenye utashi mdogo tu hawafirani, iwenje nyie mliopewa akili nyingi na maarifa yote, au ndio akili zimekosa kazi ya kufanya mnataka kufanya exploration ya miili yenu?
Una binti eeeh? Basi jua atafirwaa tu.
Wamesema wanaume wenzio sio mie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenyata Sr alisema Tz raia wake ni Maiti zinazotembea.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpare hapa umepanick, sijakuzoea hivi
Kwani imekuajee? Uwiiiih
 
Waambie hawa raia wenzio wanasukumwa na upepo tu. Lol
 
Darasa huru, πŸ‘πŸ‘
 
Sijutii kukusoma, mzee wa Washington DC.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwa kweli kujadili mambo ya kutuletea faraja siku ziende.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
suala hilo nalielewa mkuu, na ndo maana sijasema african traditional values" kwa sababau zipo tofauti .

mwisho wa siku ni juu ya jamii yenyewe kuamua mkuu
Hata Tanzania kuna jamii nyingi, na si zote zinakubaliana kwenye mambo ya tamaduni.

Ndiyo maana tuna sheria na katiba za kutuunganiaha wote.

Na hizo pia zinaenda zikibadilika kwa kuangalia mwenendo wa jamii wa dunia.

Ndiyo maana kutahiri wanawake lilikuwa jambo lililokubalika sana, kwenye tamaduni nyingi, na sasa wengi wanalihoji na kulikataa.
 
Reactions: Lax
Nashindwa kuelewa.
Unatafuta nini kwenye mgongo wa mwanamke wakati ana sehemu sahihi wakati wa kupenzika! Na ni tamu haswa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mpare hapa umepanick, sijakuzoea hivi
Kwani imekuajee? Uwiiiih
Siwezi kupanic kizembe namna hii mkuu, huyo ndugu yako ndio kanipanikia. Kwamba nimsome mtu mmoja kisa wao wanaelewana kiitikadi. Unadhani ni sawa?
 
Nashindwa kuelewa.
Unatafuta nini kwenye mgongo wa mwanamke wakati ana sehemu sahihi wakati wa kupenzika! Na ni tamu haswa.
Sababu kuu zinazofanya mwanamke atoe tigo ni 3

1) Mawazo yake na fantasy yake binafsi, pia utandawazi na maybe influence ya marafiki, anawaza akifanyiwa hivyo atajisikiaje, atapata raha gani tofauti, hivyo akipata boyfriend wa kumuomba hio kitu anatoa bila kusita.

2) Kumpenda sana mwanaume, kunapelekea mwanamke akiombwa almost penzi la aina yoyote na uyo mwanaume, anaishia kukubali

3) Tamaa ya pesa, inachangia sana kuna baadhi ya wanaume wako tayari watoe hata laki 5 au million 2, watoe bikra ya tigo ya mwanamke..mdada akiona looh tangu azaliwe hajawahi ishika million 1 anakubali kulawitiwa, na akianza atapata maumivu baadae atazoea na kuhisi raha mwishowe yeye mwenyewe atakua anashusha dau, au hata bure analawitiwa binti kiziwi Elvis Legacy iron finger Lamomy
 
umeeleweka mkuu
 
Usiwe unanitag kwenye ucengee wako PUMBAVU..!
 
Siwezi kupanic kizembe namna hii mkuu, huyo ndugu yako ndio kanipanikia. Kwamba nimsome mtu mmoja kisa wao wanaelewana kiitikadi. Unadhani ni sawa?
Kwa kweli sio sawa, au labda alikua anakushauri tu.
 
😹😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…