Kutokusafiri kwa wabongo ndio kunafanya mibongo kua akili zilizolala fofofo? Hicho ndicho ulichomaanisha mkuu?Siyo wasafiri. Wao wakiona maghorofa Kenya wanamlaumu Nyerere.
Wanataka mpaka angeacha wazungu
Naomba unitajie 4 hio ya 5 ungenitajia km bonus
Siyo kusafiri tu, hata kutafti kidogo hakuna.Kutokusafiri kwa wabongo ndio kunafanya mibongo kua akili zilizolala fofofo? Hicho ndicho ulichomaanisha mkuu?
mpimbwe naomba utoe maelezo mengimengi km unavyotoa maelezo ya hizo geothermalHapo chini mkuu sijakuelewa kwenye mstari wa Mwisho hapo sijakuelewa, hakuna cha maana sana unamaanisha nini? Na huku unasema mibongo imelala fofofo unamaanisha nini mibongo imelala fofofo au imelazwa fofofo?
Kiingereza na niwakweli hakuna matataUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Unatakiwa kusema kuhusu nini?mpimbwe naomba utoe maelezo mengimengi km unavyotoa maelezo ya hizo geothermal
Bado hujajibu swali mkuu naona unazunguka au umeamua kuficha jibuUnatakiwa kusema kuhusu nini?
Nchi ni:
- Usalama
- Umoja
- Uhuru
- ardhi
- Sera mambo ya nje
- Uchumi wa watu.
Nchi siyo maghorofa pekee.
Unaweza kuita matajiri wote duniani wakaja ukawapa ardhi na kila wanachotaka, wakajenga maghorofa halafu wewe ukabaki manamba kuwalimia mashamba yao ya kahawa na mkonge wanapeleka Ulaya.
Swali gani?Bado hujajibu swali mkuu naona unazunguka au umeamua kuficha jibu
Mashamba ya Mkonge bongo si anamiliki Mo,Unatakiwa kusema kuhusu nini?
Nchi ni:
- Usalama
- Umoja
- Uhuru
- ardhi
- Sera mambo ya nje
- Uchumi wa watu.
Nchi siyo maghorofa pekee.
Unaweza kuita matajiri wote duniani wakaja ukawapa ardhi na kila wanachotaka, wakajenga maghorofa halafu wewe ukabaki manamba kuwalimia mashamba yao ya kahawa na mkonge wanapeleka Ulaya.
Ndio unaitwa utalii wa Ndani huo mkuu kwenye hivyo unavyosema ni vijumba kuna wachina wana biashara zao humo za vile vidubwe vya kuingiza coins wapo wapongo wanavishangaa na kuvitalii muda wote jinsi gani unaweza kuingiza 200 na isitoke kwanini? huku ikikuonyesha wanyama ambao wapo kwenye mbuga zote za Nchi yako na hujawahi kuwaona tangu unazaliwa? Huo ni mfano tu usihamishe hoja tubakie kwenye utaliiUkishuka na ndege Julius Nyerere International Airport vijumba havivutii kabisa, vimekaa shaghalabaghala bila mpango na mabati yamejaa kutu sana tofauti na ukishuka Jomo Kenyatta International Airport.
Wazungu/ wageni wengi hupendelea Kenya kuliko Tanzania si kwa sababu ina vivutio vingi zaidi, bali kwa sababu ya historia na kujitangaza mapema. Kenya tangu enzi za ukoloni ilijulikana kama safari destination, filamu kama Out of Africa zilipigwa kule, na serikali yao ikawekeza sana kwenye matangazo ya kimataifa kupitia “Magical Kenya.” Tanzania kwa muda mrefu iliendelea kutegemea jina la Serengeti na Kilimanjaro bila promo kubwa na kutanua wigo wa maeneo mengine ya kuvutia.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Hizo za Kenya ndio zinavutia👇👇Ukishuka na ndege Julius Nyerere International Airport vijumba havivutii kabisa, vimekaa shaghalabaghala bila mpango na mabati yamejaa kutu sana tofauti na ukishuka Jomo Kenyatta International Airport.
Hivi ni wazungu wanapenda destination Safari au adventure Safari? Pita give me that piece of paperHii ni challenge kwetu kama watanzania kuona namna bora ya kufanya branding ya vivutio vyetu na kufanya walau hata kuongeza ratio ya idadi ya watalii wa Tanzania Vs Kenya.
JNIA iko Vingunguti, Kipawa, Airport, Kitunda, Banana.Ndio unaitwa utalii wa Ndani huo mkuu kwenye hivyo unavyosema ni vijumba kuna wachina wana biashara zao humo za vile vidubwe vya kuingiza coins wapo wapongo wanavishangaa na kuvitalii muda wote jinsi gani unaweza kuingiza 200 na isitoke kwanini? huku ikikuonyesha wanyama ambao wapo kwenye mbuga zote za Nchi yako na hujawahi kuwaona tangu unazaliwa? Huo ni mfano tu usihamishe hoja tubakie kwenye utalii
Mo ni mwekezaji. Kenya mashamba ni ya Wazungu milele.Mashamba ya Mkonge bongo si anamiliki Mo,
Hakuna mtunm anataka watu kuotea. Hizo ni siasa za kshamba.Mbona bongo watu wanatekwa na kupotea kama nchi nyingine nyingi tu?
Hapa sizungumzii siasa.CCM na CHADEMA wana umoja?
Mbona Tanzania imejaa kesi za kugombania na kudhulimiana ardhi kuliko hata Kenya??
Nimeekeuuliza kwanini umesema mibongo akili zao imelala fofofo? Nikakuuliza imelala au imelazwa fofofo? Naona unaanza kujizungusha mbuyu hutoi jibu lililoshiba jibu nyoosha maelezo kwanini unasema mibongo ina akili zilizolala fofofo? Hio ni moja, mbili tumezungumzia Shillings ya Kenya na Tanzania ya Kenya ina thamani ya juu sana yaan mimi leo nikienda nikachukua million 100 ya Kenya nikija Tanzania sio mwenzio wewe ukisimama pale na Million 100 yako ya Tanzania, sasa ukajibu kiwepesi tu kua eti haina maana sana mkuu hivi jibu gumu hivyo unalijibu kiwepesi wepesi tu kwamba haina maana sana? Are you serious?Swali gani?
Kisumu haiko Nairobi ilipo Jomo Kenyatta international airportJNIA iko Vingunguti, Kipawa, Airport, Kitunda, Banana.
Ni maeneo wanaishi watu wa kawaida, viwanda na magodown.
Sasa hawa watu walitaka uwanja uhamie Masaki au Mbweni??
Hao wakenya wanosifiwa, uwanja wao hauoneshi vijumba ila ukirudi pembeni kama unaenda Kisumu kuna vijumba vyakutisha mabanda ya nguruwe kabisa.
View attachment 3444343
Nairobi ina vivutio zaidi: hali ya ubaridi inayovutia hao jamaa; un'gen'ge mkali zaidi na nightlife changamfu zaidiUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?