Sahihi, miaka ya mwanzoni mwa 1990 , tayari wakenya walikuwa wanakuja mikoa ya Arusha, Kilimanjaro nk kufanya promotion ya bidhaa zao kama Colgate, Rexona soap, imperial etc wakiwa full package (mziki,dancers, promotion materials etc) ...ukienda kwenye Tourism industry kule Arusha mahoteli ya mbugani kama SOPA LODGE na mengine, camp sites nk walikuwa wamejaa huko kibao na wako vizuri sana.Dar es salaam kuna mbu wengi sana.mzungu hapatani na mbu hata kidogo.Nairobi mbu ni wachache sio kama Dar.pia wenzetu wanajua kufanya biashara muda mrefu wana exposure ya vitu vingi.
Iko hivi ni kweli tuna mbuga nyingi za wanyama (National Parks,Game Reserves, Forest Nature reserves etc). Sasa swali ni je zote hizo zinajaza watalii kila mwaka? Jibu ni hapana na sababu ni nyingi, ikiwemo miundombinu, huduma mbalimbali nk... mfano the leading NPs kwa utalii bado ni huko kaskazini (Ngorongoro, Serengeti,KINAPA nk) ... yaani kwenye idadi mfano watalii 2M kwa mwaka unaweza kukuta ni from 5 key NPs na huko kwingine ni mmoja mmoja...Mbuga za wanyama ni vivutio vya utalii, hao Simba, swala nk ni vivutio vya utalii kaka. Acha kutuona sisi wajinga
huyo jamaa hata mimi amenishangaza nadhani atakuwa mkenya bongo tuna vivutio vingi Kwa Africa tupo top 3 kama tungekuwa na promo nzuri tungeshika hata nafasi ya kwanza 100% fikiria Mali asili za Tanzania zingekuwa Kenya ingekuwaje?? Ile Bustani ya maua kule makete Haina promo kabsa nasikia hata makampuni makubwa ya filamu washindwa kujakufanyia movie zao kama Serengeti kule kutokana na Kodi kubwa wanayopewa wakati wakienda Namibia Kenya na SA wanashoot Kwa Bei chee...Mkuu ngoja tubadilishane baadhi ya vitu inawezekana kweli sijui ila mimi nachojua Tanzania tuna vivutio vingi sana kushinda Nchi nyingi tatizo hatuna vifaa bora vya usafirishaji wa hao wageni angalia kodi ya Land Cruisers hao wa Namibia na Botswana au SA wao gharama za vitu vinavyohusiana na utalii vipo chini sana hata baadhi ya mbuga zao zina bara bara ya lami na Toyota hilux mtu anaenda nayo porini tofauti na sisi kwetu zinatakiwa gari ngumu kutokana na bara bara zetu ila sio kweli kwamba Namibia watuzidi idadi ya wageni mkuu hapana ingawaje nao wanafanya vizuri kwenye hiyo sekta.
Hii niliwahi sikia. Ni gharama kubwa kwa mtalii ku embark tz kwa shughuli za kitalii kuliko nchi jirani.Wazungu wengi wanashukia Kenyata Airport Nairobi kwa sababu mwanzo KIA walikua na Tozo kubwa kuliko wenzetu ndio chanzo cha ndege nyingi kuukimbia uwanja wetu iliwafanya wageni wengi kushukia kule harafu tunawafata na shuttles/Coaster na kuwaleta Arusha ila kama wangeweka mazingira ya Tozo mazuri nadhani ndege nyingi zingeshukia hapa hapa KIA ingawaje sasa hivi KLM wameanza kutua hapo KIA.
Mnaishi kwa data za kutunga , wawekezaji wakubwa wote wanaenda kenya, ambako mihimili angalau uko huru hata wakiwa na mashauri yao ambayo ni local angalau sheria itafuatwa na haki itatendeka, sio hizi mahakama ambazo wanasiasa wakiamua kuhujumu muwekezaji basi mahakama itasubiri maelekezo tu ndio itoe hukumu, muwekezaji gani yuko tayari kurisk mtaji wake kwenye nchi yenye mifumo isiyo eleweka mifumo iliyopo ni kwa maslahi ya watawala na wala hawaijali nchi na wananchi wake tena.Wazungu gani hao unaowauliza…..
Tanzania ni prime tourism tourism destination kwa sasa.
Numbers zinasupport hili
Wewe kijakazi umeamua kuwa mpumbavu kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe. Inasikitisha sana. Kenya wana Ngorongoro Crater na Serengeti? Unajua Lupita Island iliyoko Ziwa Tanganyika?karibia kila tulichonacho wanacho pia kwa namna moja au nyingine, narudia tunadanganywa sana, isitoshe kila nchi ina upekee wake hapa duniani, mfano namibia inapata watalii wengi per head klk hata tanzagiza napo utasemaje? ...
Wewe kijakazi umeamua kuwa mpumbavu kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe. Inasikitisha sana. Kenya wana Ngorongoro Crater na Serengeti? Unajua Lupita Island iliyoko Ziwa Tanganyika?
Hawa ni watalii?UN wanahamishia more offices in Nairobi,
Hapa tunazungumzia wawekezaji au watalii?Mnaishi kwa data za kutunga , wawekezaji wakubwa wote wanaenda kenya, ambako mihimili angalau uko huru hata wakiwa na mashauri yao amabyo ni local angalau sheria itafuatwa na haki itatendeka, suo hizi mahakama ambazo wanasiasa wakiamua kuhujumu muwekezaji basi mahakama itasubiri maelekezo tu ndio itie hukumu, muwekezaji gani yuko tayari kurisk mtaji wake kwenye yenye mifumo isiyo eleweka.
Hii kesi ya lissu inaivua nguo sana serikali na ina funga mianya mingi sana ya ushirikiano wakimataifa na hada katika uwekezaji wa miradi mijubwa kaman8navyo fabyika kenya sasa ni basi tu kwa vile vilaza ndio walio iazana huko ikulu
Tanzagiza ndio nchi gani?so what? hivi unajua hata ngorongoro ni nini? hiyo ni lift valley imeanzia ethiopia huko juu kupitia kenya mpka kwetu kuelekea kusini, kwa hiyo kwa akili yako unaona rift valley ilichagua tu kwetu? hata kuna mkoa maalumu kabisa kenya unaitwa rift valley unafikiri ni kwa nini?
isitoshe kila nchi ina upekee wake kama nilivyokwisha andika kuna mambo yako kenya ambayo watalii huyafwata ambayo tanzagiza hayapo na kinyume chake, mfano malkia elisabeth wa uingereza kabla hajawa malkia baba yake aliyekuwa king alifariki wakati malkia elisabeth akiwa holliday kenya hivyo umalkia ulimfika akiwa kenya, kuna waingereza wengi huenda kenya kutembelea hilo eneo na hiyo hotel na hivyo ni tourism huo ni mfano tu mdogo wa upekee wa kila nchi.
mnajidanganya sana kuamini kwamba tanzigiza pekee yake ndiyo ina upekee, hata common sense ilipaswa tu kukwambia kwamba hilo haliwezekani kama ni ziwa tanganyika lipo upande mwingine pia burundi, zambia na kongo sasa nani kakwambia kwamba ziwa tanganyika ni special kwa upande wa tanzagiza tu?
kuna watalii kwa mfano wanakwenda rwanda kwa sababu ya kuona gorilla tu ambao tanzagiza hakuna, wengine wanakwenda uganda kuona tu chanzo cha mto nile jinja, mto nile ni moja kati za mito muhimu duniani na chanzo chake kiko jinja uganda, mto nile umetajwa mara kadhaa kwenye Biblia takatifu na chanzo chake kiko jinja, uganda ...
Kwenye SGR na airport sio kweli labda kama unalinganisha na TanzaniaNyie wakati mnashangaa flyovers enzi za Magufuli Kenya walikuwa nazo tangu enzi za Kibaki, halafu Kenya majimbo mengi tu yana flyovers tofauti na bongo ambapo ni Dar tu.
Jomo Kenyatta Airport ulikuwa uwanja mkubwa kimataifa kuliko Dar es Salaam muda mrefu sana.
Kenya ndio imekuwa nchi ya kwanza kuwa na SGR Africa Mashariki.
Wazungu wengi wanashukia Kenyata Airport Nairobi kwa sababu mwanzo KIA walikua na Tozo kubwa kuliko wenzetu ndio chanzo cha ndege nyingi kuukimbia uwanja wetu iliwafanya wageni wengi kushukia kule harafu tunawafata na shuttles/Coaster na kuwaleta Arusha ila kama wangeweka mazingira ya Tozo mazuri nadhani ndege nyingi zingeshukia hapa hapa KIA ingawaje sasa hivi KLM wameanza kutua hapo KIA.
Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Chadema inajifia chini ya lisuMungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
We jamaa ni ng'ombe Tanzania Ina gorrila wengi kuliko hata hao Rwanda.so what? hivi unajua hata ngorongoro ni nini? hiyo ni lift valley imeanzia ethiopia huko juu kupitia kenya mpka kwetu kuelekea kusini, kwa hiyo kwa akili yako unaona rift valley ilichagua tu kwetu? hata kuna mkoa maalumu kabisa kenya unaitwa rift valley unafikiri ni kwa nini?
isitoshe kila nchi ina upekee wake kama nilivyokwisha andika kuna mambo yako kenya ambayo watalii huyafwata ambayo tanzagiza hayapo na kinyume chake, mfano malkia elisabeth wa uingereza kabla hajawa malkia baba yake aliyekuwa king alifariki wakati malkia elisabeth akiwa holliday kenya hivyo umalkia ulimfika akiwa kenya, kuna waingereza wengi huenda kenya kutembelea hilo eneo na hiyo hotel na hivyo ni tourism huo ni mfano tu mdogo wa upekee wa kila nchi.
mnajidanganya sana kuamini kwamba tanzigiza pekee yake ndiyo ina upekee, hata common sense ilipaswa tu kukwambia kwamba hilo haliwezekani kama ni ziwa tanganyika lipo upande mwingine pia burundi, zambia na kongo sasa nani kakwambia kwamba ziwa tanganyika ni special kwa upande wa tanzagiza tu?
kuna watalii kwa mfano wanakwenda rwanda kwa sababu ya kuona gorilla tu ambao tanzagiza hakuna, wengine wanakwenda uganda kuona tu chanzo cha mto nile jinja, mto nile ni moja kati za mito muhimu duniani na chanzo chake kiko jinja uganda, mto nile umetajwa mara kadhaa kwenye Biblia takatifu na chanzo chake kiko jinja, uganda ...
Kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi na wazungu, hawa jamaa wanavutiwa sana wakiwa kwenye jamii inayozungumza lugha Yao ya kizungu kwa ufasaha,Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Route ya zamani ilikua Uholanzi KIA,Daslm sasa hivi ni Uholanzi to KIA harafu Uholanzi na hiyo ya KIA,Daslm ipo na Uholanzi Daslm ipo pia..Klm mbona kitambo sana wanatua Kia?
JPM aliweka VAT kwenye transit goods wageni wote walikimbia kipindi hicho waziri wa fedha alikua mzee Mpango tulijaribu kumshauri Mzee Mpango akafanya research kwa kwenda mwenyewe Durban na Timu yake ndio washindani wetu wakubwa wakagundua hakuna kitu kama hicho maana Wazambia walikimbilia SA na Msumbiji hao Wakongo walienda Kenya pamoja na Angola walipotoa hiyo VAT yao wakaenda kuwaomba kwa vikao tena...na pia walikua wanawasumbua kama Tipper limepakia mzigo na Bill ya Tipper wengine walikua wanapoteza mizigo hiyo ndio Tanzania mtu kaweka kitu ndani ya gari linalopita bado walikua wanapoteza mali zao si ujambazi huo..Hii niliwahi sikia. Ni gharama kubwa kwa mtalii ku embark tz kwa shughuli za kitalii kuliko nchi jirani.
Ujinga huu wa tozo kubwa ulimnyoosha hata jpm na bandali yake. Mwisho wa siku meli ili warf moja kwa wiki ndio akaziondoa na kwenda drc kubwa omba wafanya biashara warudi kutumia bandari kama awali.