Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Summary ya Dira ya Maendeleo (Tanzania Development Vision 2025) iliyoandaliwa kwa usimamizi wa Prof. Mwandosya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du!!Tunatofautiana sana akili.Mbingu na nchiKwa taarifa yako Kikwete ndio rais bora nchi hii kuwahi kua nae na sidhani kama atatokea kama yeye miaka ya karibuni,
Alikua rais msikivu,
Aliekubali kukosolewa,
Na hata kwenye chaguzi zake hakukua na mauza uza kama tuliyoyaona 2020,
Alikubali tz ipate katiba mpya, ila aliefuata ukizungumzia katiba wasiojulikana halali yako, katiba ilivunjwa vunjwa kama vile nchi haina katiba wala sheria
Vyombo vya habari vilikua na uhuru na mengineyo mengi tu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Hujajibu hoja yangu nyingine mkuu, umejibu upande mmoja tu.Hahahah! Magu ashauriwe? Alifikia mahali kutamba haambiwi la kufanya na yeyote. Washauri waliambiwa wanaropoka. Makamba alijifanya kutumia kiswahili chake kumshauri akapewa open kabisa sitaki ushauri wako, niache. Mbona hata Mkapa aliyekuwa chanzo cha kupaa kwake alitukanwa hadi akamzira alipotaka kumshauri? Kama unakumbuka, kuna Wakati Mkapa alisusia mialiko yote ya serikali - na ushauri pekee Magufuli aliowahi kuusikiliza ni kuambiwa nenda kamuombe msamaha Mkapa, for your own good.
Mkuu ni vigumu sana kwa Samia, kutoka Zanzibar, kuendesha nchi bila kuwa na mshauri wa karibu wa bara. Akina Mwigulu Nchemba, Ndugai nk wangemla nyama mbichi. Lazima Samia ajenge ngome yake kwa kuisimamisha juu ya mtu wa bara ambae si tishio kwake, na Samia ana historia na Kikwete. Kwa hiyo Kikwete ana role kubwa sana katika uraisi wa Samia. Na bila Kikwete watu kama kina January, Nape na Ridhiwani huo uwaziri huenda wasingeupata. In fact, January alienda mbali hata ku-demand wizara anayotaka na kutofanya kazi na wateule wa Magufuli. Katika normal circumstances January angeweza kuwa waziri, lakini sio wa wizara nyeti ya Nishati, sana sana Mambo ya Nchi za Nje. Bila KIkwete January asingethubutu kuwa that bold, japo baba yake ali influence kiasi. Lakini elewa pia nguvu ya Makamba Snr inapitia pia kwa Kikwete.Hujajibu hoja yangu nyingine mkuu, umejibu upande mmoja tu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
hawa watu wa mbeya pia wanasumbuliwa na virusi vya tribalism kama akina naniliu.Mwandosya alikuwa na proffessional arrogance Akiwa katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini wakati Kikwete akiwa Waziri!! Wake!!! Boss wake
Alikuwa hamheshimu Kikwete kivileee!! Kifupi alikuwa akimdharau ndio sasa Kikwete akaja kuwa Raisi wakamwacha na Proffessional arrogance yake abaki nayo kijijini kwake aitumie kijijini sio mjini kwa watoto wa mjini akina Kikwete
Acha kupotosha na ushabiki. Prof. Mwandosya hakuwahi kutemwa na Kikwete kwenye baraza la mawaziri na kurudi kijijini. Infact, hata alipoumwa karibu miezi sita Kikwete alisema nafasi yake ya uwaziri itamsubiri.
Licha ya hiyo, yale yalikuwa mambo ya ujana. Kumbuka KIkwete alimfanya Prof. Mwandosya kuwa mtu wake wa karibu sana katika uraisi wake. Na kwa taarifa yako, KIkwete alimuomba Mwandosya wasahau yaliyopita, na hata alikuwa tayari kusuluhishwa na kina Malechela, Mwambulukutu ikibidi. Prof. Mwandosya alijibu kuwa haukuna la kusuluhisha yeye alikuwa fresh kabisa na Kikwete na wakasahau yaliyopita.
In any case, Prof. Mwandosya alichokuwa akilalamika wakati wakiwa Nishati pamoja ni Kiwete kuingilia kazi za Katibu Mkuu. Lakini kama una habari za ndani utakumbuka kwamba climax ya yote ilikuwa ni Prof. Mwandosya kuamrisha meli iliyoleta mafuta machafu ya TIPER iondoke nchini ndani ya masaa 24, kitu ambacho Kikwete alipinga akidai wasamehewe. Na ilikuja kujulikana Kikwete alikuwa akisimamia maslahi ya nani pale Nishati. Sasa Prof. Mwandosya hakuwa arrogant, alitaka kuwa professional tofauti na waziri wake ambae wakati huo professionalism was a foreign word too difficult to understand its meaning.
Na by the way, ili Prof. Mwandosya akuheshimu inabidi ustahili heshima yake, hilo kwake ni la msingi sana. Na nitakuambia wazi, Prof. Mwandosya hakuona kama Magufuli alistahili heshima yake. Kikwete alikuja kutambua Prof. Mwandosya alisimamia wapi
Tribalism unayoisema ipo kila kabila. Na labda inakuwa visible zaidi kwa watu wa Mbeya kwa kuwa ni moja wapo ya makabila yaliyosoma enzi za mkoloni na wakawa na nafasi za juu ambazo ni wazi watakuwa visible wakifanya tribalism.hawa watu wa mbeya pia wanasumbuliwa na virusi vya tribalism kama akina naniliu.
Nayeye akakujibu hivi huku akikuuliza:[emoji1541]Mkuu, wewe umesema hayo, sio mimi. Mimi nilichofanya ni kuuliza kwa nini Kikwete hakumshauri,kwa sababu najua Samia huwa kuna wakati anapata ushauri wa Kikwete, toka zamani akiwa na Magufuli. Sasa huko ulikoenda wewe ni kwingine kabisa. Kama Kikwete alitoa ushauri huo Samia akakataa basi sema
Mbona .atusi tena?!!Mara nyingi tumesema ogopa sana mtu mjinga na mpumbavu akitoa maoni.
Wewe ni MJINGA NA MPUMBAVU
Unasikitisha pamoja na uzoefu wako hapa JF.Mwandosya alikuwa na proffessional arrogance Akiwa katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini wakati Kikwete akiwa Waziri!! Wake!!! Boss wake
Alikuwa hamheshimu Kikwete kivileee!! Kifupi alikuwa akimdharau ndio sasa Kikwete akaja kuwa Raisi wakamwacha na Proffessional arrogance yake abaki nayo kijijini kwake aitumie kijijini sio mjini kwa watoto wa mjini akina Kikwete
Naunga mkono hoja!Juzi hapa ilitangazwa kwamba Prof. Mwandosya ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Wengi walishangaa kwa nini Prof. Mwandosya kaletwa kutoka hali ambayo wengi wetu tulidhani ni ustaafu na kurudi kuwa Mwenyekiti wa EWURA.
Lakini hatupaswi kushangaa. Uteuzi wa Prof. umetukumbusha pia kwamba wakati Mkapa akikabiliwa na sakata la ununuzi wa rada toka Uingereza, ni Prof. Mwandosya alipewa jukumu la kuliweka sawa jambo hilo, hadi kukawa na joke kwamba Prof. Mwandosya alim-charm yule mwanamke wa Uingereza aliyekuwa akitutuhumu vikali hadi akabadilika na kusema "it wa a very wise decision by Tanzania to buy the radar!"
Na pia kwa mlio na ufahamu, wakati uhusiano kati ya Kiwete na Kagame umeharibika sana hadi Kagame kutishia kumpiga Kikwete ni Prof. Mwandosya alitumwa Rwanda kwenda kuweka mambo sawa.
Na labda niwaambie siri nyingine, wakati Kikwete anaona anashambuliwa kila kona kwa kuwa raisi dhaifu, ni Prof. Mwandosya aliitwa ofisi ya Raisi kama waziri asie na wizara maalum na kuwa mshauri wa karibu wa Kikwete. Matokeo tukayaona, ghafla Kikwete akaanza kuonekana kuwa na busara sana nchini na nje ya nchi. Ilifikia hatua watu wakasema unajua Kikwete aliwahi kugombea uraisi, bila kutambua kuwa kulikuwa na busara za Prof. Mwandosya nyuma ya utendaji wa Kikwete katika sehemu kubwa ya awamu ya mwisho ya uraisi wake.
Na hivi, ni Watanzania wangapi wanatambua kuwa dira ya maendeleo aliyotumia Raisi Mkapa kutukwamua kiuchumi (TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025) ni matokeo ya kazi ya Prof. Mwandosya baada ya kuambiwa na Raisi Mkapa asimamie utayarishaji wake? Najua wengi hawakujua hili kwa sababu ilipokamilika iliandikwa imeandaliwa chini ya Planning Commission, bila kueleza iliandaliwa chini ya usimamizi wa Prof. Mwandosya
Na tunaomfahamu Prof. Mwandosya, tunajua kwamba katika nyanja za kimataifa, alikuwa kinara wa majadiliano ya mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi ulioitwa Kyoto Protocol, kiasi kwamba alisifiwa sana juu ya uwezo wake wa kuchambua mambo na Raisi Clinton wa Marekani, pamoja na Al Gore. Wakati huo Prof. Mwandosya alikuwa msemaji wa kundi la G77 & China, lakini hakuwa na madaraka yoyote serikalini Tanzania, jambo ambalo lilimfanya Raisi Clinton wa Marekani amshangae sana Mkapa kutomtumia ipasayo Prof. Mwandosya katika serikali yake - na ndipo Prof Mwandosya "alipoamriwa" na Mkapa akagombee ubunge.
Ndio maana imesemwa kwamba katika mambo ambayo hutakaa umdanganye Prof. Mwandosya ni mambo ya mikataba. Hapo kina Prof. Kabudi na degree za sheria zao weka kando kabisa!
Na wakati fulani Prof. Mwandosya akiwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, kulikuwa na mbinu za nchi ya Misri kubadilisha makubaliano ya matumizi ya mto Nile ili kuinufaisha zaidi Misri. Ilibaki kidogo sana nchi za Mto Nile kutia sahihi mkataba huo mpya pale ambapo Prof. Mwandosya aliibuka tena na kuziamsha nchi nyingine juu ya vipengele kwenye makubaliano hayo mapya ambavyo vingezikandamiza. Kwa sababu ya uchambuzi wake huo, nchi zote za Mto Nile ziliwagomea Misri kuweka sahihi makubaliano hayo mapya. Hadi leo Misri hawataki kabisa kusikia habari za Prof. Mwandosya kwa kuwa wanamuona kuwa mtu aliewanyang'anya tonge mdomoni!
Na labda pia wengi waligundua kwamba mara tu baada ya Prof. Mwandosya kuteuliwa kuwa Mweyekiti wa EWURA, bei ya mafuta ilishuka kiasi tofauti na matarajio ya wengi, na wengi wamekuwa wakijiuliza kama ilikuwa ni utendaji wake kama Mwenyekiti wa EWURA uliosababisha kutoa ahueni kwenye bei za mafuta nchini.
Sasa kuna mengi juu ya Prof. Mwandosya naweza kusema hapa, lakini acha haya yatoshe kwa sasa ili kuweka backdrop ya swali langu. Kwa nini Kikwete hakumshauri Samia amteue Prof. Mwandosya kuwa Makamu wa Raisi?
Swali langu pia linaendana na maoni ndani ya humu JF juu ya uteuzi wa Dr. Mpango kama Makamu wa Raisi. Kwa ujumla wengi wa wana JF hawaridhishwi kabisa na Dr. Mpango kuwa Makamu wa Raisi, hasa ukizingatia matukio ya hivi karibuni yaliyomhusu Dr. Mpango.
Sasa je, Kikwete hakukumbuka kwamba angalau Makamu wa Raisi wa Samia awe mmojawapo wa wagombea wa uraisi wa awamu ya Magufuli? Maana kama Prof. Mwandosya angekuwa Raisi badala ya Magufuli, hadi leo hii angekuwa ni raisi katika awamu yake ya mwisho. Je, inawezekana pia Kikwete hakumpendekeza Prof. Mwandosya kuwa Makamu wa Raisi kutokana na ile issue ya "majina ya mfukoni"?
Kwa tunaomfahamu Prof. Mwandosya, ukiachia mbali porojo za humu JF, kama angekuwa ndio Makamu wa Raisi chini ya Raisi Samia, Tanzania tungeenda mbali sana na uongozi wa Raisi Samia ungeonekana ni bora na ungemfanya maarufu kwa scale ile ya Nyerere - mama wa Taifa! Na naweza kudiriki kusema inawezekana kabisa, Kikwete alitambua wazi kama Prof. Mwandosya angekuwa Makamu wa Raisi wa Samia, basi Kikwete angekuwa na influence kidogo sana kwa Samia, au asingekuwa na influence yeyote!
Kwa hiyo naweza kusema kwamba katika hili ni wazi ubinafsi ulizidi maslahi ya nchi. Raisi Samia alipigwa chenga katika kuteua Makamu wa Raisi. Prof. Mwandosya angemfaa sana na tusingekuwa na habari za kulishwa samaki waliooshwa kwenye maji ya maiti!
Juzi hapa ilitangazwa kwamba Prof. Mwandosya ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Wengi walishangaa kwa nini Prof. Mwandosya kaletwa kutoka hali ambayo wengi wetu tulidhani ni ustaafu na kurudi kuwa Mwenyekiti wa EWURA.

Wewe ndo Professor mwenyewe nini? Mbona upo detailed sana?Acha kupotosha na ushabiki. Prof. Mwandosya hakuwahi kutemwa na Kikwete kwenye baraza la mawaziri na kurudi kijijini. Infact, hata alipoumwa karibu miezi sita Kikwete alisema nafasi yake ya uwaziri itamsubiri.
Licha ya hiyo, yale yalikuwa mambo ya ujana. Kumbuka KIkwete alimfanya Prof. Mwandosya kuwa mtu wake wa karibu sana katika uraisi wake. Na kwa taarifa yako, KIkwete alimuomba Mwandosya wasahau yaliyopita, na hata alikuwa tayari kusuluhishwa na kina Malechela, Mwambulukutu ikibidi. Prof. Mwandosya alijibu kuwa haukuna la kusuluhisha yeye alikuwa fresh kabisa na Kikwete na wakasahau yaliyopita.
In any case, Prof. Mwandosya alichokuwa akilalamika wakati wakiwa Nishati pamoja ni Kiwete kuingilia kazi za Katibu Mkuu. Lakini kama una habari za ndani utakumbuka kwamba climax ya yote ilikuwa ni Prof. Mwandosya kuamrisha meli iliyoleta mafuta machafu ya TIPER iondoke nchini ndani ya masaa 24, kitu ambacho Kikwete alipinga akidai wasamehewe. Na ilikuja kujulikana Kikwete alikuwa akisimamia maslahi ya nani pale Nishati. Sasa Prof. Mwandosya hakuwa arrogant, alitaka kuwa professional tofauti na waziri wake ambae wakati huo professionalism was a foreign word too difficult to understand its meaning.
Na by the way, ili Prof. Mwandosya akuheshimu inabidi ustahili heshima yake, hilo kwake ni la msingi sana. Na nitakuambia wazi, Prof. Mwandosya hakuona kama Magufuli alistahili heshima yake. Kikwete alikuja kutambua Prof. Mwandosya alisimamia wapi
Hapana Mkuu. Nilikuwa sehemu ya karibu kujua kilichokuwa kinaendelea. A fly on the wall.Wewe ndo Professor mwenyewe nini? Mbona upo detailed sana?
Kweli kabisa, muogope sana mjinga na mpumbavu akitoa maoni!!Mara nyingi tumesema ogopa sana mtu mjinga na mpumbavu akitoa maoni.
Wewe ni MJINGA NA MPUMBAVU
Sikuhizi Hana professional arroganceMwandosya alikuwa na proffessional arrogance Akiwa katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini wakati Kikwete akiwa Waziri!! Wake!!! Boss wake
Alikuwa hamheshimu Kikwete kivileee!! Kifupi alikuwa akimdharau ndio sasa Kikwete akaja kuwa Raisi wakamwacha na Proffessional arrogance yake abaki nayo kijijini kwake aitumie kijijini sio mjini kwa watoto wa mjini akina Kikwete
Basi kuna mtu hapa haelewi maana ya assumption katika analysis, maana hoja yangu iko kwenye scenarios sio assumption. Shule tamu!Nayeye akakujibu hivi huku akikuuliza:[emoji1541]
Msingi wa hoja yako uko kwenye dhana ya kusadikika (assumption)
cc😡Synthesizer
Hapa we huoni kama kuna tatizo la kuchanganya siasa na taaluma. Katiba yetu ndio mbovu, acha kujadili watu, angalia nafasi hizo katiba inavyozikanganya. Kikwete kaupata urais kwa tabasamu lake watanzania wakajua maisha bora kwa kila mtu, unakumbuka kauli mbiu za kipindi chake.Nashukuru walau umekubali kuwa Mwandosya alikuwa akipigana ubavu na Waziri wake Kikwete kuonyeshana misuli yaani tag of war kuwa nani zaidi wizarani kati ya katibu mkuu Mwandosya na Waziri wake Kikwete!!! Anyway kwenye hiyo vita baadaye Kikwete aliibuka kuwa Raisi!!! Sasa hapo nani zaidi katiya Mwandosya Proffessional katibu mkuu na Raisi waliyekuwa kwenye tag of war?