Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

Sasa Mbowe kajenga nini?
 
Kingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?

Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
Mbowe anapendwa na wanachadema kama Putin anavyopendwa na Warusi! Ahahahahaha!!!
 
Mimi huwa napenda kujadili hoja za mtu mkweli.

Bob Makani na Lipumba walikuwa ni wenyeviti kwa wakati mmoja sasa Mbowe amekuwaje mwenyekiti kwa miaka 30?

Halafu hao wote kama wameondoka kwa ajili ya Mbowe maana yake Mbowe ni jabari, siyo sawa na Mbatia sliyeng'olewa uenyekiti Nccr na kufutwa uanachama.

Nadhani hapa lugha sahihi ni kwamba Mbowe ameshindikana ni mbuyu na ataandaa yeye succesor plan ya mwenyekiti wa kumrithi.
 
Nadhani hoja ya msingi sasa ni kwa Mh Mbowe kukabidhi kijiti kwa mwanachama mwingine. Hili linapunguza sana credibility yake na dhana nzima ya demokrasia.
Kuna ushahidi upi wa kuthibitisha hayo?
 
Alianza na Uenyekiti wa BAVICHA
 
Lazima wamtaje kwasababu ndo mmiliki wa CHADEMA baada ya kurithishwa na mkwe wake. Kama hutaki kufuata sheria za Mbowe ondoka CHADEMA. Hulazimishwi kuwepo kwenye chama cha familia.
 
Reactions: Tui
Huna akili, Mbowe alikuwa katibu mkuu wa Chama,
Kumbe hujui historia ya CHADEMA wewe,

Mbowe alitoka mwenyekiti wa BAVICHA kisha Mwenyekiti wa CHAMA,
sasa tukisema ni mkt miaka 30 tunakosea wapi?
 
Lazima wamtaje kwasababu ndo mmiliki wa CHADEMA baada ya kurithishwa na mkwe wake. Kama hutaki kufuata sheria za Mbowe ondoka CHADEMA. Hulazimishwi kuwepo kwenye chama cha familia.
Sahihi kabisa Chadema is not a political party
 
Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…