Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

A good dancer must know when to leave the stage. now it's time for Freeman Mbowe to have a chance for another Generation.
1.Lissu
2. Msigwa.
3. Rwakatale
4. Wenje
5 Grecian Mkoba .. mwenyekiti chadema Kagera.. a former CWT
6. DANIEL DAMIAN
7. JOHN MNYIKA
 
Mkuu umenisahau mimi.
Umkhontowesizwe: Niliondoka chadema kw sababu mbowe alikikodisha chama kwa Lowassa (rip) ili agombelee urais.
 
Mbowe hoi aisee🤣🤣🤣
 
Daaah
 
Lazima Kuna kitu sio bure
 
Kingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?

Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
Mkuu hoja yako ni mtambuka,tukuulize na wew kwanini wale wanaotoka ccm wakija CHADEMA wanapewa sifa ya kupeperusha bendera ya kuwania kiti cha Urais?Au nnan aliyewah toka ccm akaja chadema hakupewa madaraka?
 
Nikama kufukuzwa kazi utamlaumu MD na HR
 
Wa
Mkuu hoja yako ni mtambuka,tukuulize na wew kwanini wale wanaotoka ccm wakija CHADEMA wanapewa sifa ya kupeperusha bendera ya kuwania kiti cha Urais?Au nnan aliyewah toka ccm akaja chadema hakupewa madaraka?
Wangapi?
 
A good dancer must know when to leave the stage. now it's time for Freeman Mbowe to have a chance for another Generation.
1.Lissu
2. Msigwa.
3. Rwakatale
4. Wenje
5 Grecian Mkoba .. mwenyekiti chadema Kagera.. a former CWT
6. DANIEL DAMIAN
7. JOH

Sasa kama lengo ni kudhoofisha unataka wamtaje Nan tumia akili wanatumwa kama wewe ulivyotumwa
 
Mpaka kufikia 2021 Mbowe alikimbia nchi. So, ni kudra tu hana umwamba wowote.
 
Kati ya wote hawa CCM ndiyo inaongoza kwa kuitaja Chadema na Mbowe.
 
ccm

wanabadirishana uongozi maana kuna hazina kubwa ya viongozi safi sasa chadema hawana mtu mwingine wakimtoa mbowe wengine wote vilaza ndiyo maana ya kubaki na mbowe miaka yote wengine hawajitambui
Kwahiyo watanzania ni vilaza ndiyo sababu familia za watawala zinapeana madaraka ya kututawala vilaza!
 
🤣🤣 Msigwa
 
Nimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,

Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?

Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora tuseme CCM ibaki madarakani milele kama Upinzani hata kujiongoza tu hamuwezi.
Hivi CUF et al ni vyama vya siasa au mpira. Vipi wenyeviti wao waliwahi kubadilisha lini. Hii elimu ya kila Kata kuwa na shule imezalisha watu wa hovyo sana. Hakuna kufikiri wala kutafakari wao ni kuropoka km wanasiasa.
 
Ndio ni tatizo kwa sababu hanunuliki kama wao.Mfano kama msigwa,kafulila,waitara,mdee,matiku na ww pia.





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwahy tofauti na Mbowe hapo chademani hakuna mwenye uwezo wa kuendesha chama? Bc mna matatizo mengi sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…