BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Na wewe iba mkuu kama ni rahisi.Rostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe iba mkuu kama ni rahisi.Rostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
Ukifuatilia sakata la Gold Mafia unasikia habari za Rostam kufanya biashara na makampuni ya migodi ya dhabu ya mitambo ya machimbo n.k. unapata majibu ya maswali mengi sana juu ya utajiri wake na kwanini yupo karibu na viongozi wetu wakubwa toka awamu ya Mkapa.Wengine hawataki Mali zao kuhesabiwa, rostam ndiye mtanzania wa kwanza kufikia Dola bilioni moja mwaka 2013,Leo atakua na ngapi?!
Wahindi janja janja hawa hatari tupu.Rostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
Iba naww kama ni simple, maguful aliwajaza roho chafu nyie
Wabongo tunajuanaRostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
Acha wivu wewe, utakufa kwa kijiba cha roho. Kama Rostam siyo mfanyabiashara, anawezaje kuwekeza hadi Mauritius, South Sudan, Kenya na South Africa?Rostam hajawahi kuwa mfanyabiashara zaidi ya kuwa jizi na tapeli wa Mali za Tz. Pumbavu wewe
10% na biashara ikulu na ushirika kuelekea utrillionare baada ya kustaafu utumishi wa ikulu. Mwenye kujivua gamba kageuka lulu ya ikuluKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?
Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Iko hivi, kwenye deal ya Boeing, Magufuli alimtuma mtu wake kwenda kuchukua 10% Sandton South Africa. Huyo jamaa alipoingia ofisi ya Boeing Africa mtu aliyekutana naye na kumkabidhi ile 10% ni Rostam Aziz.wengine wanasema ni msimamizi wa maslai ya USA kwa baadhi ya nchi za africa. magu alichungulia file lake akawa mpole. Rostam akatoa mil 500 zanzibar mil 500 tanganyika kipindi cha corona.
Rostam sio muhindi ,ni muajemi. (Persian) kihistoria waajemi ni watu walio smart sana kichwaniWahindi janja janja hawa hatari tupu.
Ni Rais kivuliKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?
Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Rostam anaenda kulipeleka pabaya taifa mda ni mwalimKila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?
Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa nembo ya Taifa au anabeba biashara za Tanzania? Wapo wapi wakina bakharesa kwenye hizi deals?
Acha ujinga! Huyo siyo Rostam!Rostam Huyu ?!
View attachment 2792933
Na mdogo wake jangili akaachiwa huru licha ya ushahidi tosha ....Jpm aliufyata.....sembuse MamaRostam sio size yako
wakati wa Jk kwny Ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama alijipenyeza hadi moja ya matukio lilikuwa ni Obama kuzindua mitambo yake ya Symbion ambayo aliibadilisha kutoka Dowans hadi symbion na kuanzia hapo Wapinga ile mitambo wakaufyata milele
Rostam ndio alimuamuru Benjamin Mkapa atoe yale mabilion ya EPA
wakati wa JPM, Rostam ndio mtu pekee alikaribishwa Ikulu na picha zika trend anakunywa Chai na Rais Ikulu
huyu Mtu ni zaid hatare
KabisaaMjumbe mkuu wa rushwa za viongozi wa CCM
Huyo atakua n nani mme wako alie kuvua ubingwa ?A
Acha ujinga! Huyo siyo Rostam!
Kuna watu nyie ni wapuuzi sana! Uko hapa Tanzania na hata Rostam humjui?!
Huna ujualo... Rostam kaiibia Nchi mpka huo ufanyabiashara wake ukawa hivyo ni ujambazi na wizi wa Mali za was Tz wajinga Kama wewe!!, Rostam n jambazi papa na anapaswa anyongwe hadharani!.Acha wivu wewe, utakufa kwa Kiribati cha roho. Kama Rostam siyo mfanyabiashara, anawezaje kuwekeza hadi Mauritius, South Sudan, Kenya na South Africa?