Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini