Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

Mimi nilimpenda sana baba japo kwa sasa ni marehemu, kwasababu yeye ndo alikuwa provider mkuu, mama alikuwa wa nyumbani tu.

Sasa endeleeni kutothamini baba zenu muone siku mkiwapoteza kama pengo lake litazibika, kwa sasa ninauwezo wa kurudisha fadhila kwa baba ila nashindwa, hayupo tena duniani, kila nikijilazimisha kumpenda mama kama ilivyo baba, napo haiwezekani. Baba alinihangaikia sana, Mwenyezi-Mungu amrehemu huko alipo.
 
Kwenye uislam ushasema wa kwanza kusaidiwa ni mama ndo afuate baba siyo kwamba baba asisaidiewe kabisa hapana
 
Back
Top Bottom