Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
No ndio maana nimetangulia kusema kwamba hii ni "nature" nikimainisha kwamba ni hali halisi iliyopo ulimwenguni tangu mwanzo.Sasa hii kusingizia tunalisha sumu watoto inayokeaga wapi, au na nyie mlilishwaga sumu na mama zenu 😂😂😂