Jambo la muhimu ni kujipanga kwa kutomtumaini mtu yeyote uzeeni. Kuhakikisha unaishi kimahesabu. Maisha yanasonga mbele. Uzuri ukifa lazima utazikwa hata kama si watoto au ndugu, serikali huwa inazika wasiokuwa na nduguHii nayo ishakua shida yapaswa kutatuliwa hasa na watoto wenyewe wakiume
wababa tunapohudumia familia zetu tujikumbuke na sisi kujiwekea akiba kidogo tusije kunyanyasika tukishazeekaSijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Watoto wa kike huwa wanajitahidi kubalance, ila watoto wa kiume ndo wana hii kasumba, Uzuri na wao huzeeka na kufanana na baba zao.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Maana yang ni kwamba mtoto wa kiume asiweke highest % kwa mama ake akamsahau baba yake, asijue ipo siku nayy atakuja kua baba hataamini 😎Jambo la muhimu ni kujipanga kwa kutomtumaini mtu yeyote uzeeni. Kuhakikisha unaishi kimahesabu. Maisha yanasonga mbele. Uzuri ukifa lazima utazikwa hata kama si watoto au ndugu, serikali huwa inazika wasiokuwa na ndugu
Kama nini hasa, ambacho baba hawez kumpa uyo mtoto!!Mama humpa mtoto vitu vya thamani ambavyo pesa haiwezi kununua.
Muda, huruma, faraja, upendo etc.Kama nini hasa, ambacho baba hawez kumpa uyo mtoto!!
Kwa sababu wanakuwa wamezaa matutusaSijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Hivyo ulivyovisema siyo sahihi kila wakati. Sema mama anamuweka tumboni miezi 9 ambayo baba hawezi. Anamnyonyesha. Hayo hatupingi.Muda, huruma, faraja, upendo etc.
Mfano Mtoto akilia mama anaweza kukesha akim'bembeleza kitu ambacho wababa wengi hawawezi.
Watoto hulalia upande ambao wanaona wanathaminiwa zaidi.
Usisahau katika familia kuna mgawanyo wa majukumuWanaume hawana muda na familia zao
Akitoka asubuhi kurudi saa 6 usiku.....si wikend wala siku za kazi yeye nyumbani hayupo....
Na ikitokea akawepo nyumban ndani ya masaa ni kufoka na kugomba hovyo.
Msipobadilika mtalalamika sana
Mfano Mama hana kazi ni Mama wa Nyumbani ina maana watoto hawajui kama Mama yetu hana kazi na pesa za Matumizi ya Nyumbani Baba ndiyo mtoaji? Kwa mfano Nyumbani kumenunuluwa TV, fridge ina maana watoto watajua Mama ndiyo kanunua wakati Mama hana kazi yoyote muda wote yupo Nyumbani.Tatizo Mnatoa hela ya matumizi gizani, mnawakabidhi wake zenu. Wake zenu wanawaaminisha watoto kuwa wao ndiyo wanatoa hizo hela na siyo baba
Kama ni mtoto wa kiume ipo siku nayeye atakua baba ndo atajua thamani ya baba ipo wapi ?Muda, huruma, faraja, upendo etc.
Mfano Mtoto akilia mama anaweza kukesha akim'bembeleza kitu ambacho wababa wengi hawawezi.
Watoto hulalia upande ambao wanaona wanathaminiwa zaidi.
Midomo ya akina mama Ina sumu kali sana inayotia kiharusi kwenye akili za watoto wao hasa wa kiume.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Duniani (kiroho), kuna vita endelevu kati ya mpango wa Mungu na mpango wa shetani. Moja ya formula katika mpango wa Mungu na succession plan ya Dunia ni Baba arithishe vizazi vyake Baraka njema. Ndio kusema anayeweza kutoa Baraka kwa watoto wake ndani ya mpango huo ni Baba. Soma vitabu vyote utaona Baba ndio waliotoa Baraka kwa watoto wao.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........