Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Mimi ni mkristo Mkuu, kwenye maandiko hilo lipo wazi mbona! Adamu aliwekwa na Mungu pale Edeni ili aitunze ile bustani. Baada ya Adam na Eva kula Tunda, Mungu aliposhuka alimuita Adam akumuuliza upo wapi? Swali unatakiwa kujiuliza kwanini hakumuita Eva? Lakini hata baada ya kujitetea kwa Adam unaona namna ambavyo Maswali mengi yalimuelekea Adam na si Eva. Hii ni nini maana yake? Maana yake Baba ndiye aliyewekwa mwangalizi wa familia ni kichwa cha familia ni mwangalizi wa familia. Ni mlinzi pia wa familia.Mr Spider we umejuaje kama huyo mungu atauliza hayo maswali?🤣🤣