Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Anza wewe kutuambia, kwanini unamuona mama ako ndio bora kuliko baba.Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Unemaliza uzi ufungwe. Hili ndio tatizoTatizo Mnatoa hela ya matumizi gizani, mnawakabidhi wake zenu. Wake zenu wanawaaminisha watoto kuwa wao ndiyo wanatoa hizo hela
Na hao ni wamama wapumbavu sana, mama bora ni yule anaewajenga watoto kumheshimu baba yaoTatizo Mnatoa hela ya matumizi gizani, mnawakabidhi wake zenu. Wake zenu wanawaaminisha watoto kuwa wao ndiyo wanatoa hizo hela
Wewe uwe wa kwanza kutupa jibu, kwanini unamjali mama yako zaidi ya baba yako baada ya kufanikiwa?Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Vipi na wale wamama wakorofi kutwa kufokea watoto na wapo bize na utafutaji jeMalezi ya mwanzo tunakosea Baba upo busy kutafuta ,miezi mitatu hapo nyumbani ukirudi nyumbani wewe ni kufokea watoto na komandi tu kumbuka saikolojia ya Mtoto inaanza kunasa miaka 6 na 7 yote unayofanya mzazi wanaelewa vizuri Sasa ukifanya vibaya Huku uzeeni hawatakujali ,NB wazazi wa kiume wapi busy na watoto wa kike automatically lakini kumbe inatakiwa tuwe busy na watoto wa kiume sana Kwa Kuwa tayari uumbaji unampendelea Mtoto wa kike Kuwa na huruma
Kumbuka unapokua Baba na muda mwingi unapokua kwenye harakati za utafutaji muda mwingi anae shinda nyumbani na mtoto ni MAMA kuanzia akiwa mchanga mpaka anakua na kufikia hatua ya kujitegemea so technically mtoto anarithi mambo mengi na lifestyle kutoka kwa Mama yake na hata maneno mazuri na mabaya (sumu) ni rahisi kuaminishwa na Mama na akakua nazo.....Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri
Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi , wengine wanafika hatua wanamchukua mama yao na kuishi nao katika nyumba zao za kifahari huku wakimuacha baba yao katika hali ngumu ya kimaishaa
Shida ni nini lakini
Mungu awape faraja 😁Mkuu we waache tu watutenge ila nao watakuwa na kuoa then watazaa, nao yatayapata haya wanayotutendea,, cc wanaume tumeumbwa kuteseka na kula kwa jasho,