Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

Bado kidogo watabaki uchi wa mnyama kabisa...akili zao wengi wao ndivyo zilivyokua programmed kua kuuza nyapu ndio mchongo wa kupata pesa chap Chap kwaio Sasa wataonekanaje? Lazima waje mitandaoni na kupiga picha zinazoonesha mapaja, matiti, na matako...ila saivi wanaona haitoshi wanaanza kukaa uchi sasa
 
Tatizo ni wale viewers hawaonyeshi kuchukizwa na hiyo hali cha zaidi huwa wanawasifia.

Ingekuwa wakishajua mtu tabia yake ni hii na ikitokea akipost chochote hawa view wala hiyo hali isingeshamiri.

Au ndo haiwezekani?
 
Naamini kila abiria achunge mzigo wake. Kama binti yako au dada yako anafanya hivyo, mkataze eventually watabaki wachache ambao ni yatima na wasiye na kaka zao.
 
Punguza kuangalia hizo vitu maana unavyoviona sio kama vimezidi ila tuu algorithm yako ulivyo set ndio inakuletea preferable search results
Sio kweli Mimi Wala sio mwangaliaji wa hayo madude na umri wangu sio wa kutumia hizo social media ila mathalan mtu anatumia li link kalikurupua huko ukifungua ndio unakutana na hizo mambo.
 
Sio kweli Mimi Wala sio mwangaliaji wa hayo madude na umri wangu sio wa kutumia hizo social media ila mathalan mtu anatumia li link kalikurupua huko ukifungua ndio unakutana na hizo mambo.
Umenikumbusha hapa juzi nilipanda gari nikakaa siti ya mbele kuna yankii mmoja akaja nae akakaa siti inayofuata halafu anafuata dereva, yule yankii akafungua FB sasa FB kuna ile km status za WhatsApp zipo pale juu hua zinajipanga hivi nilichokiona pale nilichoka kudadek yaan ikabidi nimwangalie vizuri usoni, hiki ni nini?
 
Back
Top Bottom