Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Huko china 🇨🇳 mnavutishwaga bangi?Kwa nini unatumia TikTok, FB na insta kaka? Hiyo mitandao ya kike
Huko china 🇨🇳 mnavutishwaga bangi?Kwa nini unatumia TikTok, FB na insta kaka? Hiyo mitandao ya kike
Biashara ni matangazo! Uchaguzi ni wako! Kuanguka au kusimamaUtakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?!
Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
Aisee hii mpya kwanguHutafuta Attention, ambayo wanaamini huwavuta hata madanga. Zamani mademu wakali wengi na wenye mishape walikuwa wanakimbilia kwenye bongo movies ili waonekane wapate wanaume wenye hela ila siku hizi ni tofauti, wanakimbilia social networks.
Ndo yawe na pazia sasa japo kwa Me huwa ni ngumu.Tatizo Macho macho hayana pazia
Kuna siku nilikua road natembea tu nyuma yangu anakuja Dada wa Makamo tu ana mzigo wa nguvu basi nikamwambia tangulia mimi natembea taratibu maana yeye alikua anatembea kwa haraka basi akatangulia sasa mimi nikaanza kuungalia ule mzigo huku pembe kulikua na limama sijui niite libibi likawa limenikazia macho ninavyoangalia ule mzigo, kugeuza macho nakuta libibi limekazana kunikazia macho alikua na vibinti vyake nikafanya km nimepotezea eeh namwangalia tena kakaza macho nikasema wewe hunijui nikasimama na mimi nikamkazia macho tukatazama km dakika 1 hivi vile vibinti vinacheka havina mbavu mpaka bibi akaamua aache kunikazia macho afanye issue zingine na mimi nikaendelea na safari,Ndo yawe na pazia sasa japo kwa Me huwa ni ngumu.
Ajabu sigara haifanyiwi promo na inauza. Nadhani kuna vitu tuliaminishwa vibaya thamani zake.Thamani ya bidhaa imeshuka hivyo inabidi ifanyiwe matangazo
Umeshazeeka ila bado hujajigunduaKwa nini unatumia TikTok, FB na insta kaka? Hiyo mitandao ya kike
Lazima ukweli usemweHuko china 🇨🇳 mnavutishwaga bangi?
Sahihi mkuu mitandao inakupa unachokihitajiPunguza kuangalia hizo vitu maana unavyoviona sio kama vimezidi ila tuu algorithm yako ulivyo set ndio inakuletea preferable search results
Dili Hilo biashara za watu hizo ATM yako tuuUtakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?!
Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
Tutumie nini kakaKwa nini unatumia TikTok, FB na insta kaka? Hiyo mitandao ya kike
haiwezekani kwa mfano reels video huwazinajiplay zenyewe unaweza ukakuta reel ya kitu cha maana ukaangalia kikiisha inajiplay inayofuata ndo unakutana na chura wa buza anamwaga radhi, utafanyaje sa ndo ushaviewTatizo ni wale viewers hawaonyeshi kuchukizwa na hiyo hali cha zaidi huwa wanawasifia.
Ingekuwa wakishajua mtu tabia yake ni hii na ikitokea akipost chochote hawa view wala hiyo hali isingeshamiri.
Au ndo haiwezekani?
😅😅😅Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?!
Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
hata mi mwanzo niliamini hawa watu wanapiga hela kihivyo ila nlipoangalia rate za meta wanazolipa Usd per viewers nilichoka.Saizi mitandao inalipa content creators wengi. kama TikTok kwahio content creators wanacheza na soko ambalo ni mashabiki kama nini wanapenda ….content zinazoenda viral faster n etc ...
Kama comedy ....kuwa sexy etc ila wengine ni influence wanapata kwa kile wanachoona na kuiga .
Ngoja wapige hela