MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Siku hizi mdada akiwa na tako kubwa tayari anakuwa comedian mtandaoni. Mimi ni shabiki lia lia wa mdada comedian mwenye tako la dunia nzima anajiita Jackrine_OgSaizi mitandao inalipa content creators wengi. kama TikTok kwahio content creators wanacheza na soko ambalo ni mashabiki kama nini wanapenda ….content zinazoenda viral faster n etc ...
Kama comedy ....kuwa sexy etc ila wengine ni influence wanapata kwa kile wanachoona na kuiga .
Ngoja wapige hela